Sikio kuuma

Utingo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
10,266
Reaction score
8,085
Wapendwa sikio kuuma bila kutoa usaha, na kuwa na dalili za uvimbe kwa ndani kwa chini. Mshikaji kaenda kwa wataalamu wa ENT mara nyingi na haisaidii. Kaambiwa mpaka atumie mafuta ya kuku, ametumia lakini imeshindikana. anasema akijaribu kusafisha sikio kusafisha anaona damu kidogo.

ushauri tafadhali.
 
Atajaribu kutumia sawa za sikio za kienyeji na viwandani
 

ajaribu kutumia Cloxacillin tabs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…