I iddi_chazua New Member Joined Aug 30, 2011 Posts 1 Reaction score 0 Mar 21, 2017 #1 Khabar wadau, naombeni msaada, sikio langu limeziba sio maji nadhani ni wax. Nimejaribu kuperuzi sijapata way out sana sana wanasema nisitumie cotton wool na nilichowaza kutumia kwanza.. Mwenye njia yeyote mbadala?
Khabar wadau, naombeni msaada, sikio langu limeziba sio maji nadhani ni wax. Nimejaribu kuperuzi sijapata way out sana sana wanasema nisitumie cotton wool na nilichowaza kutumia kwanza.. Mwenye njia yeyote mbadala?
Lundavi JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 327 Reaction score 324 Mar 21, 2017 #2 Pole sana, ilinitokea hiyo but nikatumia ear drop baada ya siku tatu likazibuka.
Justice minister JF-Expert Member Joined Sep 1, 2016 Posts 1,173 Reaction score 823 Mar 21, 2017 #3 Jichunguze, huenda ni msongo wa mawazo/stress.
O onyx JF-Expert Member Joined Mar 17, 2016 Posts 1,587 Reaction score 1,316 Mar 24, 2017 #5 Ulipanda ndege
BILGERT JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 6,534 Reaction score 11,011 Mar 24, 2017 #6 Daah,hzo wax zilinipata mkuu..nliumia saana.daktar alinishaur nitumie BORIC ACID.baada ya siku mbili lilizibuka
Daah,hzo wax zilinipata mkuu..nliumia saana.daktar alinishaur nitumie BORIC ACID.baada ya siku mbili lilizibuka