Sikio langu la upande wa kulia limeziba

Sikio langu la upande wa kulia limeziba

Autocratic

Member
Joined
Mar 8, 2018
Posts
18
Reaction score
12
Habari zenu wana Jf natumaini mu wazima wa afya
Kama kichwa kinavojieleza sikio langu moja linasikia kwa mbali nilikua nkmelala jana mchana kuamka nikawa katika hali iyo

naombeni ushauli wenu au nipate tiba
 
Kaka Nenda hospital faster kama upo dar nenda muhimbili moja kwa moja sawa
 
Back
Top Bottom