Sikio langu moja la upande wa kulia linatoa sauti fulani zinaninyima amani

talibomtoto

Member
Joined
Nov 15, 2017
Posts
43
Reaction score
18
Sikio langu moja la upande wa kulia linatoa saut fulan ivi zinaninyima aman si mchana wala usiku saut haziishi

Nipo njombe nauliza kama kuna hospital nzuri ya maskio maana ni mwez sasa umepita tangu tatizo lianze

Naomba msaada wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni nta mzee... Inabid ukafanyiwe syringing. Ni procedure ya dkka kumi tu
 
Pole mkuu, hilo tatizo linaweza likasababishwa na matumizi fulani ya dawa hasa Quinine za malaria, pia huweza kusababishwa na uchafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu hata mimi hiyo hali ilinitokea kwa siku tatu mfululizo sikio la kulia,ila imeacha yenyewe jana asubuhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…