Sikio lina mfupa au halina mfupa?

Sikio lina mfupa au halina mfupa?

Buffet

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
639
Reaction score
1,571
Hello jf doctors,

Kuna jamaa kapata accidents hapa,Sasa katika maelezo ya daktari tunaambiwa mfupa was sikio la jamaa umesagika sasa, shida yangu ni kuelewa je, sikio lina mfupa?
 
ndio ni mifupa midogo midogo (fibrocartilage) ndio maana linakua kwenye shape hiyo ya sikio tofauti na hapo lingekua kama nguo inaninginia
Capture.JPG
 
ndio ni mifupa midogo midogo ndio maana linakua kwenye shape hiyo ya sikio tofauti na hapo lingekua kama nguo inaninginia
Acha uongo!!!
Mbona lips (midomo) hauna mfupa lakin hauning'inii
 
Acha uongo!!!
Mbona lips (midomo) hauna mfupa lakin hauning'inii
kuna misuli inayosaidia ndio maana iko flexible kiasi chakuweza ku_romance. Somo la biology limeeleza vizuri labda kama ulikimbia umande, ila sidhani. Bila mifupa tusingekua na shape hii tulionayo pengine tungekua kama minyoo au lava. Nb: kwenye mwili wa binadamu sehemu yenye mifupa midogo zaidi ni sehemu ya sikio. Labda ndio maana kuna shaka juu ya uwepo wake.
 
Back
Top Bottom