Siku 180 za “NoFAP” Challenge. Vitu vikubwa na mhimu nilivyojifunza

Ngoja na mimi nifute mitandao yote. Nibake na WhatsApp na JF
 
Siku 180 unajidanganya umeacha NYETO😆😆😆, Watu walikaa miaka na wakaoa juu wakahisi wamesaliti kambi, saivi ni mapermanent secretary, wewe uko likizo mkuu chamani utarudi tu, anyway,

MAPUMZIKO MEMA.
Hayo maisha nimepitia na nimeacha nafurahi nikiona vijana tukijikomboa na hili janga kubwa la PUNYETO ambalo wengi ulichukulia kawaida ila ni janga kama majanga mengine
 
Imani yako imekuponya, hongera!
 
Hongera. Binafsi Sikubaliani kabisa na kujichua pia Porn vile vile.

Lakini Mwanaume mtu mzima Kukaa na Ashki ya Ngono sio URIJALI huo, wanawake wapo forceee ila sio kujilimbikiza mananii mwilini, utawehuka
Mkuu kwa unavofikiri, nadhani unahisi labda hii hali inanipa shida sijui kuniongezea Ashki , lakini hapana kabisa.
Unadhani Mababu zetu zamani waliishi vipi? Kwasabu kupata Mwanamke wakupunguza izo manii kwa Zamani kidogo haikua rahisi , na ndo maana asilimia kubwa zaidi ya wanawake waliolewa wakiwa mabikra kwa tafsili ya kwamba hata wanaume rate ya Kufanya ngono mara kwa mara ilikua ndogo.

Iv una Habari kuna, baadhi ya jamii husuni bara la Asia, Ngono kabla ya ndoa kwao ni kitu cha Ajabu kidogo, na ni halali ya Mwanamme kumrudisha mwanamke kwao baada ya ndoa pindi akigundua si bikra? .
Ndio sikatai kuna asilimia ndogo ya wanawake wamekua wakiingiliwa kinyume na Maumbile wakijaribu kuzilinda bikra zao lakini asilimia kubwa wengi huweza kwakua ni desturi na utamaduni wao hivo hakiwapi shida.

Anyway naweza nikaeleza sana ila na bado isikuingia akilini kutokana na majira na nyakati tulizo nazo, Shetani kahalalisha Ngono kila mahali na ni rahisi tu kupata mda wowote na kakifanya kizazi kiakini hakiwezi kustahimili pasina Ngono.

Kwenye Economics kuna Kitu kinaitwa Demand utility yan kuna baadhi ya vitu unavyokipata na kukitumia ndivyo unavyo kihitaji zaidi. Ukikitumia 80% basi utakihitaji 80% na zaidi , Kikipungua lazima uteseke, hata dhambi kama Ngono, Ulevi, Bangi na zingine. Shetani kaziweka katika mfumo huo.

Binafsi ilinipa shida awali sijui ashki kwasababu nili consume ngono 65% hivo kutaka kuto ku consume tena niliteseka, ila kwasasa nimekwisha ujengea mwili utaratibu Mpya na imekua hali nyepesi tu na iliyozoeleka kwangu.
Kama isingekua kitu kinachowezekana, Mungu asinge piga vita Uzinzi na uasherati , na Maandiko yako strait Walevi, wazinzi na Waasheti, (They will be Looked out of Heaven ) makazi yao kuzimu.
Mkuu ukimkaribia Mungu na kufanya maisha yako kuwa ndo utaratibu na desturi pekee, utaona picha mpya ya maisha tofauti na hivo unavofikiria kama pasina Ngono huwezi.
Hio ni Agenda tu ya shetani ku destroy Generation, kufanya Generation isiwe na Value tena .
Just imagine kila kijana aliyebarehe na ambao wote wapo nje ya ndoa wakiamini Bila Ngono hakuna maisha “Which kind of Generation is that? Is Generation with no Value. Yani usaliti, Magonjwa, Uvunjifu wa ndoa na mauti utaipiga hio jamii.
 
Hongera sana mkuu.
 
Na naomba ikumbukwe huyu mwamba aliyenifunza hii kitu, Alifariki Mwakajana kwa Kujinyonga kwa skendo za kusalitiwa na pisi yake moja alikua anaipenda kweli kweli. Na za chini zaidi inasemekana mwana alisalitiwa kwa kuwa na show mbovu.

Hapo umetupiga na kitu kizito
 
Maswala ya show mbovu ni skendo kiukweli kama nilivyotangulia kusema . Ila swala la Mchizi kujipiga kitanzi kwa Kusalitiwa ni ukweli kabisa. Na kwanini nidanganye sasa Mkuu tena kwenye issue ya kifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…