Siku 180 za “NoFAP” Challenge. Vitu vikubwa na mhimu nilivyojifunza

Hongera siku 180 ni nyingi sana, Endelea kujikomboa utafanikiwa.
Wanaotoa comment hasi wengi wao wako ndani ya uraibu na kutoka hawawezi.
Asante mkuu. Na mimi na Amini siku 180 kuludi tena ni jambo ambalo nitakua nimelipanga na kulitaka mwenyewe. Maana kiukweli sahizi najikuta hata hilo swala haliniingii kabisa akilini kiukweli
 
180 days ni bora, kuna watu hata week hawawezi kabisa. Porn addiction is no joke
 
Nimepata Mchumba Mzuri, Mcha Mungu, Usiku mda wa kulala ukifika ananipigia Simu Tunasoma neno ,Tunasali pamoja tunalala, hanipi stress, Mshauri, Msaidizi, Anavaa kwa Adabu😋😋



Peleka Moto mzee acha ujinga
 
Huyo mchumba ulompata ndo atakurudisha kwenye nyeto na kuangalia porno
 
Nmetimiza siku ya pili ya no FAP challenge mapambano ni makali sana
Mkuu kazaaa, lakini jitahidi kuweka Ratiba yako vizuri na Mungu, Hii challenge ukitumia akili za kibinadamu ni ngumu kwakweli. Nakuombea utimize lengo lako
 
Wala usijali hizi negative comments, Hongera sana keep it up. Haya mambo yanawezekana sema ukiwa hujavuka unaona kama ni kitu kisichowezekana.
Asante sana. Na wala sikatishwi tamaa na izi Comments, as longer as nimeona mabadiliko makubwa katika maisha yangu , sina haja na kukatishwa tamaa na wasio amini.
Mimi binafsi hii challenge nilikuwa inspired na Mdau humu humu JF na nilitamani siku moja nione matunda pia hata kama kwenye ule uzi hizi Negative Comments zilikwepo ila binafsi nililichukulia positive zaidi.
Kwaio naamini katika hizi Negative Perception za wengi kuna wachache au hata mmoja tu litamjenga na atavuka pia.
 
Kama wewe Huamini, Mimi naamini Mkuu . Lolote linawezekana Kwa Uthubutu na kwa Ukuu wa Mungu. “ Stay safe in that your Comfort zone”
Tia nyeto kadiri uwezavyo

Hii mambo ya kujizuia kutia nyeto siku ya kuja kurudia utatia nyeto kwa kasi kubwa sana

Mwisho wa siku utaona yote uliyofanya kujizuia ilikuwa ni upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…