Siku 30: More action dear friends!


Tuko pamoja Mkuu.

Janet fo 3 years tumekuwa naye TPN hakika ni mzuri sijui mbeleni, na pia amefanya mengi. lakini pale masaki pia amekuwa akipinga sana ufisadi. Hata swala la kuuza beach liko katika himaya yake na anaenda nalo sambamba.

Asante Mkuu. Matunda ya PR yako pia ya AGM ya kwanza. Unakumbuka?
Mtsimbe hongera kwa Mbunge wetu mpya, you never know the role played by TPN kumfikisha hapo alipo, na huu ndio mwanzo wa safari tuu.
 

Pasco, ukweli ni kuwa hakuna kinachofanyika bila wadau wote kushirikishwa . . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…