Tetesi: Siku 5 kabla ya usajili kufungwa, Joshua Nassari atajwa kuhamia CCM

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Habari ambazo zimetrend jioni hii, ni kuhusu tetesi za kuhamia ccm kwa mbunge wa Arumeru Mashariki, ndugu Joshua Nassari. Kwa mujibu wa chanzo changu cha habari, ndani ya masaa 72 yajayo usajili utakuwa umekamilika. Tuendelee kuvuta subira
 
Kama mtanzania hajaenda shule ajaribu ajira 2.
1) Mganga wa kienyeji + Mtabiri wa nyota
2) Mwanasiasa hata uwe na elimu vipi mwisho utaishia kuwa kilaza.
Kila nyumba Tanzania ukikosa mshirikina basi utakutana na mpenda siasa.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ametamani kuwa waziri.........Mungu amsaidie!
 
Kama mtanzania hajaenda shule ajaribu ajira 2.
1) Mganga wa kienyeji + Mtabiri wa nyota
2) Mwanasiasa hata uwe na elimu vipi mwisho utaishia kuwa kilaza.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Dogo naona unatuiga mimi na Elon Musk kupiga kitu cha Arusha. Iga ufe
 
Ndiyo iliyotrend
IMG-20181110-WA0149.jpg
 
Mkewe anautaka Ujaji wa Mahakama Kuu, sasa njia pekee ya kuwa Jaji ni mumewe kujiunga ccm ili yeye ateuliwe.
 
Kama mtanzania hajaenda shule ajaribu ajira 2.
1) Mganga wa kienyeji + Mtabiri wa nyota
2) Mwanasiasa hata uwe na elimu vipi mwisho utaishia kuwa kilaza.
Kila nyumba Tanzania ukikosa mshirikina basi utakutana na mpenda siasa.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Ni shiiida madalali wa siasa huko CCM wanahaha kula 10%za ununuzi Wapinzani wa dakika za mwisho kabla ya kushinda njaa mpaka 2020 ambapo kuna vita mpya itakuja endapo wabunge walionunuliwa sasa majina yao hayatapenya kwenye kura za maoni na kamati kuu ya CCM huko Dodoma.
 
Back
Top Bottom