Uchaguzi 2020 Siku 7 kuanza kampeni, wagombea wa CCM mambo bado

Mlizoea Kuokoteza
Sasa mnaanza kulalamika
Kila ikifanyacho ccm Lazima Mkikodolee macho
Ndio maana nasema Ccm bado itaitawala nchi hii mpaka vijukuu vyetu
Huku kudanganyana na Id fake nikupoteza muda tu
Naona umetumia ishu ya wapinzani kufuatilia yanayojiri lumumba kama kigezo cha ccm kutawala kwa mda mrefu,unasahau siasa ni kama vita,ili ushinde kiulaini lazima ujue na ikiwezekana udukue mbinu za mpinzani wako for the sake of winning.
Kwa hiyo hicho kigezo chako hakina mantiki wala uhalisia.
 
Mlizoea Kuokoteza
Sasa mnaanza kulalamika
Kila ikifanyacho ccm Lazima Mkikodolee macho
Ndio maana nasema Ccm bado itaitawala nchi hii mpaka vijukuu vyetu
Huku kudanganyana na Id fake nikupoteza muda tu
Chadema si wamekwisha jaza; labda ACT, na CUF
 
Mlizoea Kuokoteza
Sasa mnaanza kulalamika
Kila ikifanyacho ccm Lazima Mkikodolee macho
Ndio maana nasema Ccm bado itaitawala nchi hii mpaka vijukuu vyetu
Huku kudanganyana na Id fake nikupoteza muda tu
Nayaona majimbo kama 20 hivi ccm itapita bila kupingwa!
 
Hivi wakikosa pa kwenda hawawezi kumwaga sumu 'mtoni' (jimboni) ikaleta athari? Au ni kwa vile lazima tushinde kwa namna yoyote?
Yote yawezekana lakini baada ya uchaguzi unasaulika faster.Ni kula nao sahani mmoja hadi kieleweke.
 
Mzee ukila spanner ni straight foward to garage maana unatoka ukiwa oil chafu na screpa kabisa huwezi kuhamia hata chama jirani.
Ila CCM kwa sasa wamepata Uongozi makini unawapiga spanner haswa
Kimsingi Mwenyekiti kwa sasa CCM wanae
 
Attachments

  • JamiiForums497226166.jpg
    50.1 KB · Views: 1
Mlizoea Kuokoteza
Sasa mnaanza kulalamika
Kila ikifanyacho ccm Lazima Mkikodolee macho
Ndio maana nasema Ccm bado itaitawala nchi hii mpaka vijukuu vyetu
Huku kudanganyana na Id fake nikupoteza muda tu
Ile part two ya majina ya wagombea sijui kama itatoka! Walisubiri kuokoteza sasa Kwisha habari yao.
 
Usikariri maisha dogo. Hii ni awamu ya 5
 
Com ni ya wana CCM wenyewe nyie inawahusu nini?

Kila chama kina utaratibu wake nyie endeleeni kukusanya wadhamini shida iko wapi?
 
Mlizoea Kuokoteza
Sasa mnaanza kulalamika
Kila ikifanyacho ccm Lazima Mkikodolee macho
Ndio maana nasema Ccm bado itaitawala nchi hii mpaka vijukuu vyetu
Huku kudanganyana na Id fake nikupoteza muda tu
Sasa nan analalamika mtu wa ajabu Sana wewe,Act na CDM wameweka wagombea nchi nzima tatzo liko wapi
 
Toka lini katiba ya CCM inafuatwa?? mchakato wote wa kuwapata wagombea ndani ya chama wa mwaka huu ni tofauti na uliopo kwenye katiba.
 
B

Bado, kuna baadhi ya majimbo tunasubiri part two yatoke!
Hpn yalijazwa yote yalibaki majimbo 5 pekee ambazo kura za maoni zinarudiwa wiki hii.
Nchi nzima wagombea walishachukua fomu toka last week. Kwahiyo ni wazi hawakuwa wakisubiri wagombea wa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…