Siku ambayo siwezi sahau

Hapana kiongozi mbona mimi nimemaliza form four toka mwaka 2010 na sasa nipo chuo kikuu mwaka watatu sasa so umekosea sana kuniambia nasubiria matokeo ya kidato cha nne
 
Lakini ndugu kule kwa muhimu hakuna na hapatakiwi kuwa na meno ungeendelea tu.Ni mapungufu madogo madogo ambayo hata katika chaguzi zetu za kisiasa yanakuwepo.
 
Ha haa bora uwe mpole. Kiherehere chote kushnehii
 
Teh teh..Pole sana mkuu..Na mi kuanzia leo binti akisema hataki simlazimishi teh
 
teh.. Aibuuu kama mie navaa fasta wapi meno yangu ndukiiiiii kabla hajazinduka maana hawa wanaume wa sasa anaweza akaanza kukupiga picha akatupie insta...
Si Ndo mpaka niyatafute hayo meno namwachia ayapeleke makumbusho mie nduki kutafuta mengine....
 
Ah ah ah ah ah ah uhiii. Aisee JF sitok hata iweje hata ukinuna utacheka tuu
 
Ha ha ha ila hujafa hujaumbika kijana oooh
 
Haha nahisi baada ya meno kutoka aliongea kwa kithembe cha hali ya juu" bebi thatha nirudithie meno yangu"
Nashindwa kuelewa ilo denda adi kutoa hayo meno ?????!
alf yakawa mdomoni mwake mh.
Naogopa unaweza ukawa umemeza mengine
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…