Na ujanja wote huo FaizaFoxy unashabikia timu ya mabunduki ya mchina..? Lazima utakuwa unakaa karibu na hospitali wewe.. Au gozi wako amekaa stand by na vidonge vya ugonjwa moyo lol..
Hahahahaa mimi hua nacheka unavyopenda kusema 'Gozi lako'....
Hiyo siku naikumbuka na nilifurahi sana maana siipendi Brazil.
= hajatahiriwa (inatokana na neno tohara).
Kwani linalotahiriwa "Gozi" au govi?
Huyo Faiza sometimes ana matatizo, hilo jina 'gozi' kwa wanaume linamaanisha mwanaume mwenye gozi ni yule ambaye hajatahiriwa. Faiza chunga namna unavyotumia baadhi ya maneno.
Vv
Hata neno 'mungu" kwenye biblia kuna wakati linatumiwa kwa shetani, umesahau?
Gozi ni Gozi na govi ni govi, tuondolee hizo tafsida zako za kufikirika,
Mi mpaka leo maumivu hayajaisha!
Hii hata Ujerumani wenyewe walishangazwa na hayo matokeo.
Pole sana.....nakumbuka that day...
everything went wrong for Brazil....
do maana Dunga now kaisuka timu hasa defense
watu wengi mno watashangaa wachezaji wale wale lakini wakicheza na German leo
wanaweza kuwafunga ujerumani....
Tatizo lilikuwa Scolari....alikuwa mbishi mno...
hakuingiza timu na tahadhari zozote....
German machine was on fire...
Mimi mpaka leo naamini kabisa kuwa Brasil waliwapa ushindi wa bure kabisa Ujerumani.
Kwa sababu ukiangalia magoli waliyokuwa wanafungwa yalikuwa ya kizembe mno.
Na wakicheza leo Brasil inaweza kabisa kuwafunga Ujerumani.
Kumbuka kuwa sasa hivi wameongezwa wachezaji wengine ambao Scolari aliwatosha - Diego Tardelli - mfungaji magoli huyu dizaini za kina Ronaldo na Romario, kuna Phillipe Coutinho na Filipe Luis.
Pia kuna Everton Ribeiro na Neymar ambaye ni hatari muda wote.
Ile game ilikuwa ni anomaly tu na bahati mbaya ilitokea kwa Brasil.
Kufungwa magoli saba kwenye soka ni nadra sana.
Lakini kamwe siwezi kui count out Brasil. Talent pool yake ni deep sana.
Scolari mbinu zake ni outdated
Brazil wana pool kubwa na talented individuals wengi sana
lakini mpira unabadilika daily
Siku ile ni kama walicheza mpira wa kizamani...
kwenye mpira kuna 'artists' na 'soldiers'
lazima uwe nao both ili uweze kushinda
siku ile ilikuwa team yenye very good soldiers(germany)
againsts timu yenye 'all artists' ambao wali lack a lot of artistry pia
hahahahaa mimi hua nacheka unavyopenda kusema 'gozi lako'....
Hiyo siku naikumbuka na nilifurahi sana maana siipendi brazil.
well, mimi si mshabiki sana wa soka lakini inanibidi niwe mshabiki kwa kuwa gozi langu linapenda soka.
Kwa ubishi tu na si kwa ushabiki wa dhati, siku hiyo mimi nilikuwa nawashangilia ujerumani, gozi langu linashangilia brazil. Sikulia kwa kufungwa brazil, nililia kwa kulionea huruma gozi langu baada ya goli la tano kumuona akibubujikwa na machozi kwa kichapo walichochezea brazil, nami nikajikuta ingawa naishangilia ujerumani lakini machozi yananitoka.
Hii siku nnadhani wengi wengi hawatoisahau ingawa hawataki kuikumbuka.
moja ya siku mbaya kwenye maisha yanguda...nilikuwa na matumaini jamaa watafufuka na kurudi mchezoni lakini wapi bana...hadi zilipo baki dk 5 ndo nikajua kumbe kweli....
Faiza, wahusika wenyewe wenye ndevu ndio tunakwambia hiyo siri lkn wabisha. Sasa kamuulize huyo mahabuba wako maana ya gozi kwa mwanaume inamaanisha nini akupe majibu.
Vv
Vv
Mkuu ningeamka asubuhi na kuona yale matokeo ningeweza kufa au kuwa kipofu au kiziwi. Namshukuru Mungu niliangalia mechi yote maana machozi yaliisha machoni nikajikuta nacheka tuuu.
Siku hiyo nilijaaa imani sana nilikuwa naamini yale yote yatarudi. Hadi dakika ya 90 niliamini magoli yatarudi.
Usiku sikulala baada ya hiyo mechi.
Tokea siku hiyo sikuwahi angalia mechi ya Brazil tena maana nilikuwa nikiwaona naona yale magoli yanavyoingia...
Naipenda Brazil sana japo pamoja na kufungwa nitaendelea ishabikia na huwa ikitolewa tu basi mimi nashabikia wale wasioshabikiwa na wengi..
Football hurts when you get the unexpected...
Sijui mashabiki wa Arsenal wanaishije