Siku Buzz Aldrin alipoambiwa athibitishe kuwa aliwahi kwenda mwezini, alimzabua mtu makofi

Siku Buzz Aldrin alipoambiwa athibitishe kuwa aliwahi kwenda mwezini, alimzabua mtu makofi

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Bart Sibrel ni mmoja ya wapingaji wakubwa wa kuwahi kutokea safari ya binadamu mwezini.Amewahi kutengeneza filamu nyingi za kupinga tukio hilo lililotajwa kufanikiwa mwaka 1969.

Siku moja mwaka 2002 Bart alimdowea Buzz akiwa kwenye bustani na kumkabidhi biblia ili aape iwapo kweli alifika mwezini. Matokeo yake Buzz akiwa na miaka 72 mwaka huo akamrushia Bart makofi mazito usoni. Buzz ilidaiwa ni mtu wa pili kutua mwezini baada ya Neil Armstrong. Alifariki mwaka 2023

Bart katika hoja zake nyingi za kupinga safari ya mwezini ni kuwa picha iliyodaiwa kupigwa mwezini siku Neil Armshtong na Buzz walipotua huko haikuonesha nyota hata moja. Kwa maelezo ya Bart picha hiyo ilitengenezwa studio na katika matayarisho yake walijisahau sana kutokuweka nyota,
---
I’d like to believe the Moon landings were faked – the alternative is far bleaker
In September 2002, the astronaut Buzz Aldrin – the second man to walk on the Moon – was confronted in Beverly Hills by a camera crew led by Bart Sibrel. Sibrel, the creator of several documentaries alleging that the Moon landings never happened, shoved a Bible at Aldrin and demanded he swear on it that he wasn’t lying about walking on the Moon, before calling him “a coward and a liar”.

In response Aldrin, then 72, punched Sibrel in the face. Aldrin’s angry reaction didn’t reassure anyone, though, and just fuelled a new wave of conspiracy theories. The central claim: the Apollo landings were a gigantic scam, perpetrated on the whole world by the American government.

Humans first landed on the Moon on July 20 1969. More than half a billion people watched on television as Neil Armstrong and Aldrin took their first steps on the arid surface. They left behind an American flag, a patch honouring the fallen crew of Apollo 1, and a plaque that read: “We came in peace for all mankind.” The sixth Apollo mission to land humans on the Moon concluded three years later. The Moon has not been visited by astronauts since December 1972.

By 1976, doubts were already creeping in. That year, Bill Kaysing, a former US Navy officer who had worked for one of Nasa’s rocket manufacturers, self-published a pamphlet titled We Never Went to the Moon: America’s 30 Billion Dollar Swindle. In it, Kaysing pointed to unexplained optical anomalies – the absence of dust clouds or blast craters around the lunar module, and the lack of stars in surface photographs – to suggest that the footage was created in a studio.

Such hypotheses have proliferated into a body of literature that shades into hallucinatory weirdness: theories on the demonic nature of UFOs, astral projection, ancient aliens genetically engineering the human race, and other oddities.

The hoax is of such a vintage that it’s become a staple of popular culture. Already in 1971, James Bond was depicted stumbling upon a Nasa film set made to look like the lunar surface, before giving chase in a Moon buggy, in Diamonds Are Forever. In this month’s Fly Me to the Moon, Scarlett Johansson plays a marketing genius hired by Nasa to film a fake landing in case the Apollo 11 mission fails.

With that kind of pedigree, the Moon-landing hoax can’t just be explained away as a form of modern-day “fake news” that blooms and fades on social media. Scepticism about the Apollo space programme was swirling long before the advent of the internet, beginning almost immediately after the landings themselves.

In turn, a great deal of effort has been expended over the decades trying to use evidence to dispel the conspiracy theories. But attempting to debunk them logically is to misunderstand what such claims are communicating.

Today, one in eight Americans think the Moon landings were staged – as do one in 11 Britons. Why won’t we all just accept the facts? Perhaps because most people aren’t interested in or persuaded by facts alone. We need only recall how, when Covid broke out, the educated classes demanded officials discard the existing pandemic action plan to see this extends well beyond those routinely accused of ignorance and emotional reasoning. Conspiracy theories make most sense when understood not as factual claims but as emotional stories – allegories – that exist in oblique relation to empirical reality. They convey diffuse, and sometimes prophetic, intuitions about the world.

I’d like to believe the Moon landings were faked – the alternative is far bleaker

 
Bart Sibrel ni mmoja ya wapingaji wakubwa wa kuwahi kutokea safari ya binadamu mwezini.Amewahi kutengeneza filamu nyingi za kupinga tukio hilo lililotajwa kufanikiwa mwaka 1969.
Siku moja mwaka 2002 Bart alimdowea Buzz akiwa kwenye bustani na kumkabidhi biblia ili aape iwapo kweli alifika mwezini.Matokeo yake Buzz akiwa na miaka 72 mwaka huo akamrushia Bart makofi mazito usoni.Buzz ilidaiwa ni mtu wa pili kutua mwezini baada ya Neil Armstrong.Alifariki mwaka 2023
Bart katika hoja zake nyingi za kupinga safari ya mwezini ni kuwa picha iliyodaiwa kupigwa mwezini siku Neil Armshtong na Buzz walipotua huko haikuonesha nyota hata moja.Kwa maelezo ya Bart picha hiyo ilitengenezwa studio na katika matayarisho yake walijisahau sana kutokuweka nyota,

I’d like to believe the Moon landings were faked – the alternative is far bleaker

Ile bendera siilipaswa ilale as kwa mwezi hakuna upepo?
 
Duuh kwahio NASA ni porojoo.
Wamarekani walivo na sifa rais wao angeendq kuhutubia Dunia Toka mwezini
Tangu mwaka 1972 waliposimamisha safari za mwezini kwa kisingizia cha bajeti basi wangeshakwenda mara kadhaa kwani teknolojia zimeimarika zaidi na uchumi ulishakuwa mzuri kuliko mwaka huo.
 
Back
Top Bottom