Siku CCM ikitolewa madarakani Tanzania, nipigwe ban

Siku CCM ikitolewa madarakani Tanzania, nipigwe ban

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Hiki chama ni Cha wababe yaani wanaweza wakasema mlale saa 12 na mkalala na hamna mtachofanya sababu vyombo vya ulinzi vimepakatwa na CCM

Nawaambieni mkitaka mtoboe maisha tokeni bongo njooni huku USA, manigga tunaishi kwa kubeba box ila pesa yake naweza kuajiri wafanyakazi wa 10 wa hapo Tanzania kutoka Serikalini na nikawalipa mara mbili ya pesa wanayolipwa na wababe CCM
 
CCM =Military-Government Symbiosis.


Kuiondoa CCM ni mpaka Ulaya, Marekani, waiwekee vikwazo vya kutosha Nchi hii, yaan Vikwazo vya kutosha kwelikweli.

Mapemaaa sana inachomoka.
 
CCM =Military-Government Symbiosis.


Kuiondoa CCM ni mpaka Ulaya, Marekani, waiwekee vikwazo vya kutosha Nchi hii, yaan Vikwazo vya kutosha kwelikweli.

Mapemaaa sana inachomoka.
Askofu Bagonza akihojiwa na DW alisema Tanzania hakuna chama tawala, vyote ni vya upinzani bata ccm maana nchi inatawaliwa na dola.
 
Hiki chama ni Cha wababe yaani wanaweza wakasema male saa 12 na mkalala na hamna mtachofanya sababu vyombo vya ulinzi vimepakatwa na CCM nawaambieni mkitaka mtoboe maisha tokeni bongo njooni huku USA manigga tunaishi Kwa kubeba box ila pesa yake naweza kuajiri wafanyakazi wa 10 wa hapo tanzania kutoka serikalini na nikawalipa mara mbili ya pesa wanayolipwa na wababe ccm
Huku vyombo vya dola ndio viko madarakani, ccm imavelishwa tu hilo koti la uongozi. Inatakiwa silaha kama M23 ili kuving'oa vyombo vya dola.
 
Misukule Ya Kijani Itapinga Eti Inakubalika Kumbe Wala
Wanaishi Kiujanja Tu
 
Nilimwelewa sana Baba Askofu
huyo Mzee hakupendekezwa uchaguzi wa Askofu Mkuu wa KKKT alipiga mayowe mitandaoni sana dah!

Wenzie walimuhadaa kua anafaa sana kua mkuu wa wa KKKT kumbe ilikua danganya toto tu, jamaa ikabidi aondoke hata kabla ya uchaguzi 🤣
 
Hiki chama ni Cha wababe yaani wanaweza wakasema mlale saa 12 na mkalala na hamna mtachofanya sababu vyombo vya ulinzi vimepakatwa na CCM nawaambieni mkitaka mtoboe maisha tokeni bongo njooni huku USA manigga tunaishi Kwa kubeba box ila pesa yake naweza kuajiri wafanyakazi wa 10 wa hapo tanzania kutoka serikalini na nikawalipa mara mbili ya pesa wanayolipwa na wababe ccm
Mbona inatolewa vizuri tu...ccm ni mbuyu mfu
 
Back
Top Bottom