Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Askofu Bagonza akihojiwa na DW alisema Tanzania hakuna chama tawala, vyote ni vya upinzani bata ccm maana nchi inatawaliwa na dola.CCM =Military-Government Symbiosis.
Kuiondoa CCM ni mpaka Ulaya, Marekani, waiwekee vikwazo vya kutosha Nchi hii, yaan Vikwazo vya kutosha kwelikweli.
Mapemaaa sana inachomoka.
Huku vyombo vya dola ndio viko madarakani, ccm imavelishwa tu hilo koti la uongozi. Inatakiwa silaha kama M23 ili kuving'oa vyombo vya dola.Hiki chama ni Cha wababe yaani wanaweza wakasema male saa 12 na mkalala na hamna mtachofanya sababu vyombo vya ulinzi vimepakatwa na CCM nawaambieni mkitaka mtoboe maisha tokeni bongo njooni huku USA manigga tunaishi Kwa kubeba box ila pesa yake naweza kuajiri wafanyakazi wa 10 wa hapo tanzania kutoka serikalini na nikawalipa mara mbili ya pesa wanayolipwa na wababe ccm
Yuko sahihi kabisa.Askofu Bagonza akihojiwa na DW alisema Tanzania hakuna chama tawala, vyote ni vya upinzani bata ccm maana nchi inatawaliwa na dola.
Nilimwelewa sana Baba AskofuAskofu Bagonza akihojiwa na DW alisema Tanzania hakuna chama tawala, vyote ni vya upinzani bata ccm maana nchi inatawaliwa na dola.
KabisaHapo huwezi kupigwa bani milele
Amna kitu kama hichoCCM =Military-Government Symbiosis.
Kuiondoa CCM ni mpaka Ulaya, Marekani, waiwekee vikwazo vya kutosha Nchi hii, yaan Vikwazo vya kutosha kwelikweli.
Mapemaaa sana inachomoka.
pwagu na pwaguzi wanapeana moyo kwa kupitoshana dah! 🐒Yuko sahihi kabisa.
huyo Mzee hakupendekezwa uchaguzi wa Askofu Mkuu wa KKKT alipiga mayowe mitandaoni sana dah!Nilimwelewa sana Baba Askofu
Mbona inatolewa vizuri tu...ccm ni mbuyu mfuHiki chama ni Cha wababe yaani wanaweza wakasema mlale saa 12 na mkalala na hamna mtachofanya sababu vyombo vya ulinzi vimepakatwa na CCM nawaambieni mkitaka mtoboe maisha tokeni bongo njooni huku USA manigga tunaishi Kwa kubeba box ila pesa yake naweza kuajiri wafanyakazi wa 10 wa hapo tanzania kutoka serikalini na nikawalipa mara mbili ya pesa wanayolipwa na wababe ccm