Siku Fid Q alipoamua kumuacha kwenye mataa John Makin bila huruma

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwanna

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Hapo kipindi cha nyuma ngosha the don alihusishwa kuwa na beef na john makin mwamba wa kaskazin

Beef hilo lilifikq hatua likawa kubwa sana midomon mwa mashabiki na kufikia hatua kukawq na team joh na team ngosha kitu ambacho ngosha kama ngosha hakukipenda kabisa

Ngosha alitaka kila msanii apambane na hali yake na kila msanii apimwe kwa mashail yake na wala siyo kuingizwa kwenye beef la kutengenezwa

Ngosha aliamua kujiondoa kwenye beef na kuieleza dunia kuwa yeye hana beef na joh kama watu wanavyozan na kuonesha jamaa kwel anataka kunawa hadi alianza kusapot kaz na joh na kuzpost mitandaon kiroho safi kabisa

Lengo la kupost kaz za joh ilikuwa ni kumuqcha apambane na hali yake na wala siyo kujinifuasha kwa beef lakutengenezwa

Matunda sasa yameonekana joh kafulia vibaya sana hajulikan hata muzik anaofanya ni upi kama analap au anabana pua

Watu washaanza kumsahau joh lakin ngosha bado yuko juu kinoma na anaendela kufanya poa sana na mashabiki wanakubal kaz zake

Kwahiyo ngosha ana akili nyingi sana na hapa tunapata kujua kuwa kumbe joh alikuwa ananufaika sana na beef la kutengenezwa lililokuwepo kati yake na FIDQ

NI HAYO TU UKINICHUKIA SIKOS HELA

BOY FROM LONDON
 
Fid q.....Hip hope ishamshinda...Anapaka poda siku hizi...pia....Anavaa Wigi....pia amehanza nakubana pua...../Lakin Johmakin....Ana helment za kike.
 
Joh kaharibu sana mziki wake yani kama ni kuswitch kapitiliza sasa sa hiv sijui ni rapper ama mbana pua fid q nae asipoangalia atadondokea humo humo
 
kwa hiyo watu waache kuingiza hela kwa wawafurahishe nyie mashabiki uchwara wao wehu kung'ang'ania style ile ile wameona hailipi maisha ni kujiongeza wako wapi mapacha?..wako wapi kina mansourii?!!.. ni kwa sbb waling'ang'ana na upuuzi
 
Kufulia ni kukosa hela labda utuambie hivyo mengine ni ushabiki tu hata wakongwe marekan wa hip hop wamepotezwa na Trap
Mziki pesa hayo ya kubana pua unaturudisha enz za ushamba wa kina kalla pina

Game hubadilika hata buster rhymes alitulizwa na mariah carey baby if you give to me

Ni mfano tu acha weusi wapige pesa.
 
Tatizo wakiimba utumbo ili kulifuata soko mnaponda, wakiimba vitu vya maana vya kuelimisha hamsapotiii mnaishia kusifia sifia tu, mashabiki wa Hip Hop ni wanafiki.
Kwenye HIP HOP ya bongo, mashabiki ndo fake, ila wasanii wako REAL. HOOOOOVA
 
mashabiki wa hip hope wengi awanaga pesa ...zakulipia kiingilio cha kucheck show...pia hata kwenda YouTube kuview video wanashindwa ...ila kulalamika wanaongoza eti wanataka ngumu.
 
Fid q.....Hip hope ishamshinda...Anapaka poda siku hizi...pia....Anavaa Wigi....pia amehanza nakubana pua...../Lakin Johmakin....Ana helment za kike.
Kwahiyo kupaka poda ni dalili za kushindwa kufanya hip hop au sijakusoma fresh
 
"Weusi" wamemmeza Joh hajulikani anaimba au anarap. Hapo umesema kweli na zile enzi za "Steam zimelipiwa" tuzisahau kabisa. Anayeweza kuimba ni G-warawara tu ila hao ndugu wawili kuimba sio kiviiiile
Hao jamaa muziki umewashinda watafute ajira nyingine
 
kwa hiyo watu waache kuingiza hela kwa wawafurahishe nyie mashabiki uchwara wao wehu kung'ang'ania style ile ile wameona hailipi maisha ni kujiongeza wako wapi mapacha?..wako wapi kina mansourii?!!.. ni kwa sbb waling'ang'ana na upuuzi
Unaingiza vp hela kwa mziki aina ya NICOME? Mara yako ya mwisho kwenda show ni lin mkuu
 
Uingize hela kwa mziki upi aisee kwa huu huu aina ya nicome au upi kwa taarifa yako kwa sasa weus hawapat show kama zaman mkuu na wameshuka sana kiongoz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…