?Unaingiza vp hela kwa mziki aina ya NICOME? Mara yako ya mwisho kwenda show ni lin mkuu
Uingize hela kwa mziki upi aisee kwa huu huu aina ya nicome au upi kwa taarifa yako kwa sasa weus hawapat show kama zaman mkuu na wameshuka sana kiongoz
helmet za kike ndo zipiFid q.....Hip hope ishamshinda...Anapaka poda siku hizi...pia....Anavaa Wigi....pia amehanza nakubana pua...../Lakin Johmakin....Ana helment za kike.
NDO MIZIKI INAYOPENDWA ONA WOWOWO AU MUZIKI-DARASA ,NGOSHA NI MSANII MWENYE HESHIMA KUBWA KWENYE HIPHOP INAYOSHABIKIWA HASA NA VIJANA WAHUNI WA STENDI ,WANAFUNZI WASIO NA MKOPO CHUO ,VIJANA WASIO NA AJIRA HUWEZI PATA HELA HUKO ,HUWEZI MKUTA KIJANA ANA MASTERS YAKE YA SHERIA KAGHOROFA NA LAW FIRM YAKE ANASHABIKIA NYIMBO ZA NGOSHA ''MBANDIDU'' YEYE MWENYEWE SASA HIVI ANAPAKA PODA BAADA YA KUACHANA NA KUNDI HILO KWA KUPATA PESAUnaingiza vp hela kwa mziki aina ya NICOME? Mara yako ya mwisho kwenda show ni lin mkuu
Mziki mzur unaingiza pesa kokoteNaomba kukuuliza. Ni muziki upi na wa msanii yupi unaoingiza fedha!? Na hizo fedha wanazipigia wapi!? Kwenye shows, ringtones, mauzo ya download?s
?
We mjamaa noma.helment au element?Fid q.....Hip hope ishamshinda...Anapaka poda siku hizi...pia....Anavaa Wigi....pia amehanza nakubana pua...../Lakin Johmakin....Ana helment za kike.
Mkuu kwahiyo prophesa juma kapuya na shivji nao ni wapiga debe stand mbona wanamsifia sana jamaa na wanauelewa mziki wakeNDO MIZIKI INAYOPENDWA ONA WOWOWO AU MUZIKI-DARASA ,NGOSHA NI MSANII MWENYE HESHIMA KUBWA KWENYE HIPHOP INAYOSHABIKIWA HASA NA VIJANA WAHUNI WA STENDI ,WANAFUNZI WASIO NA MKOPO CHUO ,VIJANA WASIO NA AJIRA HUWEZI PATA HELA HUKO ,HUWEZI MKUTA KIJANA ANA MASTERS YAKE YA SHERIA KAGHOROFA NA LAW FIRM YAKE ANASHABIKIA NYIMBO ZA NGOSHA ''MBANDIDU'' YEYE MWENYEWE SASA HIVI ANAPAKA PODA BAADA YA KUACHANA NA KUNDI HILO KWA KUPATA PESA
UKIAMBIWA HUYU MUIMBA TAARABU ZANZIBA NA HAKO KATABASAMU KAKUWEKA LIPSI KAMA WASAFI UTAAMINI
View attachment 694846
Hiyo ndo kazi aliyoamua kuchagua kufanya ndo maana akasema hataki kazi ya kuajiriwa hata ni PhD holderKwahiyo mziki ni nini? Siyo kazi?
Alishasema hakat kaz za kuajiriwa kamsikilize tena ulud hapa mkuu
Mkuu wanafiki hao hata hawasikilizagi nyimbo za hivyo mi mwenyewe wakati niko chuo nilikuwa gangsta balaa nimeimba hadi freestyle pale britisgh counsel na kina chavala sijui ulikuwa na umri gani mkuu 2005 ,nimekuwa mpambe wa mr yo rap bonanza lakini trust me huwa ni stage tu hiphop ni mziki ulianzia malalamiko ya watumwa ukaenda kuwa silaha ya ukombozi wa mtu mweusi sasa nilimaliza chuo nikapata kazi nkanunua ka harrier ,jenga kanyumba na tumiradi twa hapa na pale nkaacha kunywa viloba nkaanza kunywa heinkein ovious muda baada ya kazi nakutana na wafanyabiashara wakubwa kuwashauri mambo yao kisheria hawaniitii tena b bar sinza waliko masela wangu bali 3 star hotels japo sina utajiri ila they need my mind ,muda mfupi nikapata mwanamke nkaoa na watoto ni wazi vinaanza vimaneno kwamba jamaa misimamo ya hiphop imelegea ,offcoz i won my battle ,jay z masela wake walimuita kumshitaki amechange na hawatembelei kitaa jibu lake lilikuwa ''nigga i neva hustled to be the same'' ndo ilivyo kwa joh makini hakuna siku ya week end hana shoo na weusi .ila fid q sijapata muona kabisaMkuu kwahiyo prophesa juma kapuya na shivji nao ni wapiga debe stand mbona wanamsifia sana jamaa na wanauelewa mziki wake
Unazungumzia vp kigwangala makonda ambao ndo mashabiki namba moja wa ngosha
Kwahiyo show zote anazopiga huwa wanaenda kuingia wapiga bede na wanafunz wasio na mikopo
Kuanzia ijumaa na jumamos na jumapili jamaa alikuwa na show na alijaza watu au nao walikuwa wapiga debe
Mziki mzur unaingiza pesa kokote
A shows
B YouTube
C matangazo
Msanii hategemei pesa za kudownload au lingtone
Wasanii wote wanaoimba mziki mzur ndo wanapata pesa hasa YouTube na show na matangazo
Mfano dimomd, kiba, darasa sema naye nasikia ni teja, aslay, young killer
Mkuu unaweza kunambia joh wekend hii alikuwa na show pande zpMkuu wanafiki hao hata hawasikilizagi nyimbo za hivyo mi mwenyewe wakati niko chuo nilikuwa gangsta balaa nimeimba hadi freestyle pale britisgh counsel na kina chavala sijui ulikuwa na umri gani mkuu 2005 ,nimekuwa mpambe wa mr yo rap bonanza lakini trust me huwa ni stage tu hiphop ni mziki ulianzia malalamiko ya watumwa ukaenda kuwa silaha ya ukombozi wa mtu mweusi sasa nilimaliza chuo nikapata kazi nkanunua ka harrier ,jenga kanyumba na tumiradi twa hapa na pale nkaacha kunywa viloba nkaanza kunywa heinkein ovious muda baada ya kazi nakutana na wafanyabiashara wakubwa kuwashauri mambo yao kisheria hawaniitii tena b bar sinza waliko masela wangu bali 3 star hotels japo sina utajiri ila they need my mind ,muda mfupi nikapata mwanamke nkaoa na watoto ni wazi vinaanza vimaneno kwamba jamaa misimamo ya hiphop imelegea ,offcoz i won my battle ,jay z masela wake walimuita kumshitaki amechange na hawatembelei kitaa jibu lake lilikuwa ''nigga i neva hustled to be the same'' ndo ilivyo kwa joh makini hakuna siku ya week end hana shoo na weusi .ila fid q sijapata muona kabisa