Chapombe[emoji23]Kila siku...
Maisha yafaa nini bila pombe
Kweli hili nimelishuhudia!Ukiwa huna hela hutalewa
Halafu haiongezi kitu chochote mwilini zaidi ya migogoro ya kifamilia kupunguza salio nakujidanganya tu!!
Aseee...nakutabiria hutaiacha mkuuPombe kwakweli sio nzuri. Mimi sioni faida yake kabisa. It is 100% poison [emoji879]️ tunajua lakini bado tunakunywa. Inaharibu figo, ini hata kusababisha magonjwa mengine. Nailaani sana hii kitu. Ipo siku nitaivunja ndoa hii.
Aseee...nakutabiria hutaiacha mkuu
Kila siku...
Maisha yafaa nini bila pombe
Siku ukiwa huna pesa maana ndio siku pekee unayoweza kunywa kiustaarabuWana jumuiya wenzangu amani iwe kwenu.
Leo ni sikukuuu ya Nanenane… tunaendelea mdogo mdogo hapa Arusha . Tunang'ata kidogo kidogo na tupo na watoto wakaliiii balaa!
Hivi siku nzuri za kunywa pombe ni zipi jamani?
Weekend ama daily tu mupe muruke?
Utaacha tu mkuu,tena iyo siku unaeza kwenda bar ukaagiza bia ikafunguliwa kabisa ukasema rudisheni sitaki tena!!Vyote hivi wanywaji tunavijua cha ajabu sasa bado tutaendelea kunywa. Nachukia sana hii kitu ku control my head.
Utaacha tu mkuu,tena iyo siku unaeza kwenda bar ukaagiza bia ikafunguliwa kabisa ukasema rudisheni sitaki tena!!
Hivi vitu mbona tunaacha ili mradi tuwahi nyumbani tukae karibu na familia zetu!!
Mimi mwenyewe nilikua narudi home fungi kabla sijafika nakula ndizi mbivu then natafuna mint,wife siku iyo kapewa taarifa niko ellys pub toka siku iyo napiga Mara moja kwa wiki na nilikua ni daily
Ila nakoenda naona kama naacha
Mwezi wa nne huu na ninataka ile hamu ya bia niwe naituliza na batlika nikishacheki mpira nduki hadi homeHongera mkuu. Umefikia hatua nzuri. I am also heading there!
Hahah yan acha tu,damu ishakua pombe ila sio mbaya nitaacha maika 15 ijayo [emoji23]Chapombe[emoji23]
Hayo ni maandiko mkuuinteresting
Haaahaaa......nakuombea best yanguHahah yan acha tu,damu ishakua pombe ila sio mbaya nitaacha maika 15 ijayo [emoji23]
Usema kweli pombe ni mbaya but mziki uko ktk kuacha sasa!?Mkuu. Help a brother to live a healthy life [emoji23][emoji23]Nakuahidi nitaivunja ndoa hii.
Mmmh hapana..usiniombe niache yakisikilizwa nitapata tabu sana,subiri subiri kwanza mda ukifika nitakuambia uniombeeHaaahaaa......nakuombea best yangu
Bwaahaaahaaaaa....kichaa wangu, nilijua utalipuka na bomu tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mmmh hapana..usiniombe niache yakisikilizwa nitapata tabu sana,subiri subiri kwanza mda ukifika nitakuambia uniombee