Kama leo sio?
For digestion [emoji6][emoji6]Daily?
Uko vizuri....sisi digestion ni maji ya kisima[emoji24]For digestion [emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole.Uko vizuri....sisi digestion ni maji ya kisima[emoji24]
Umebadili gia angani[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole.
Nazingua tu situmii kilevi chochote mimi [emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23] nimeona nitaumbuka pale nikiulizwa natumiaga zipi.Umebadili gia angani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeshindikana weweYaah nikitu ambacho kishaingia kwenye routine... Kama ilivyo lazima kila siku ule.basi hata pombe ni hvyo hvyo
[emoji23] [emoji23] ninyime.chakula sio pombe
Hapo unalewa?Tunategeana jamani,full high day Leo,hebu tuongezeni speed ya kulewa kwanza ili mjadala unoge
Karibu sana,hilo jibu unaaulizaHapo unalewa?
Vzr sana,tizi halafu bar ,bia inashuka vzr mnoHapa naenda mazoezini nikirudi naanzia home halafu niende mtaani
Ninavyoumwa mwili hivi leo hata mtu akinishika tako sigombani naeVzr sana,tizi halafu bar ,bia inashuka vzr mno
Mmmh, pole kwa kuumwaNinavyoumwa mwili hivi leo hata mtu akinishika tako sigombani nae
Ndio ndio.....mimi hata nikionaga friji tupu la bia nikiwa barabarani naweza kuahirisha hata safari nikatafute mbili za kushtuaKuna maswali ya kuulizana ila sio siku ya kulewa wala muda wa kulewa
Asantee.. najipoza na JD hapa nilaleMmmh, pole kwa kuumwa
Wakuongeze km vipi bill itanihusu zote mbiliAsantee.. najipoza na JD hapa nilale