Mama la mama full kujiachia!Hapa naenda mazoezini nikirudi naanzia home halafu niende mtaani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna maswali ya kuulizana ila sio siku ya kulewa wala muda wa kulewa
Lewa mwaya life's too too shortKaribu sana,hilo jibu unaauliza
HaahaaNdio ndio.....mimi hata nikionaga friji tupu la bia nikiwa barabarani naweza kuahirisha hata safari nikatafute mbili za kushtua
HahahaLewa mwaya life's too too short
Nimempenda bi mkubwa wakoNi umaskini tu kila siku kunywa tu,bi mkubwa wangu anasemaga ka beer ni rahaaaaa anajipigia 3 kila siku