Siku hii Dream itakapotimia: JF Members SACCOS LTD

Wazo zuri sana,ili litekelezeke kwa haraka inabidi watu kumi au zaidi wakutane kwa majadiliano ya kina.
 
Niseme wazi wazo ni zuri sana tatizo ni imani, watu washalizwa sana na projects zinazotaja mhela mengi kama haya. Imefika hatua watu hawaamini tena. Kuna mtu amesema kuanza na vikundi vya mkoa au kiwilaya nahisi hilo libgekuwa jema zaidi.



Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Wazo zuri, ila niwakumbushe tu kuwa haya mambo ya kutaja idadi ya wanachama na kuzidisha na kiasi cha fedha kitakachopatikana inawakosti yanga. Hadi sasa ivi hawajafikisha hata milioni hamsini japo wanachama ni zaidi ya milioni moja.
 
Wazo zuri, ila niwakumbushe tu kuwa haya mambo ya kutaja idadi ya wanachama na kuzidisha na kiasi cha fedha kitakachopatikana inawakosti yanga. Hadi sasa ivi hawajafikisha hata milioni hamsini japo wanachama ni zaidi ya milioni moja.
Nikweli mkuu kupiga hesabu Ni rahis saanaa...
 
Jadilini mkifikij hatua ya utekelezaji naombeni mnijuze hata kama tutachangia laki moja kila mmoja nipo tayari.
mara nyingi nakua off line so ni vema kunitext kwa namba 0743503492 pia ushauri wangu katika kuchagua viongozi ni vema watoke kila kanda
 
Mmefikia wapi wakuu, ni vizuri hili wazo viongozi wa JamiiForums wakashirikishwa pia

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Sasa naanza kufanya usajili, tafadhali njoo PM
 
Dha kumbe bado toka kipindi kile, lkn mwezi wa saba katkat katkat ntakua free ntaanglia kama ntaweza onze nguvu tuangalie tutafanyaje
 
Huu Uzi kma utafanikiwa kwenda kwenye action nitakuwa the most best SACCOS ever in East Africa if not Africa. Naunga mkono 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…