Siku hizi bwana mtu akija Dukani kwako ata akiulizia bei tu bila kununua anataka/ anadai risti yake

Siku hizi bwana mtu akija Dukani kwako ata akiulizia bei tu bila kununua anataka/ anadai risti yake

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Mteja: habari
Muuzaji: nzuri
Mteja : shati sh. Ngapi?
Muuzaji :20000
Mteja; punguzo
Muuzaji; halipungui
Mteja : sina naondoka
Muuzaji: ahsante karibu
Mteja; naondoka
Muuzaji; poa ondoka tu siuzi kwa bei hiyo
Mteja; naomba risiti
[emoji15] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji15] [emoji6] [emoji6]
 
mmmh! mbona haina mvuto.
 
Back
Top Bottom