manSniper
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 814
- 680
Miaka ya nyuma ilikua ngumu sana kwa mji wa Moshi kukuta wanawake wanajiuza hii ilitegemea na maadili ya dada zetu wa kichaga nimeshangaa sasa mitaa ya TANESCO Malindi clab kukuta wamejipanga kwa kuuza miili yao kuna wengine wa mikoa wamevamia kuja kuwafunza hawa dada zetu jinsi ya kuuza miili yao?