Miaka ya nyuma ilikua ngumu sana kwa mji wa moshi kukuta wanawake wanajiuza hii ilitegemea na maadili ya dada zetu wa kichaga nimeshangaa sasa mitaa ya tanesco malindi clab kukuta wamejipanga kwa kuuza miili yao Hawa ni dada zangu wa kichaga au ? Kuna wengine wa mikoa wamevamia kuja kuwafunza hawa dada zetu jins ya kuuza miili yao?