Siku hizi nimekuwa expert wa Wanawake

Hii akili ungeitumia vizuri, leo hii huenda na wewe ungekuwa unaiuzia serikali Tanzanite kama bilionea Laizer!
 
Never get high on your own supply.

Sawa sadari? Maana naona unajichoma tu hadi umepitiliza viwango. Hahaha vijana mko na kazi sana.

Kula bangi na kukosa hekima, busara na utulivu ni shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…