Thomas Brown
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 344
- 856
Daaah, ila maisha yanaenda Kasi sana.
Alipokuwa msichana mrembo pale ITV na Redio One alijulikana kama Beatrice Chalamila Binti kutokea Mkoani Iringa.
Baada ya kupagawa na usakataji kabumbu pamoja na uhandsome wa mkaka aliyejulikana kama Boniface MKWASA, mchezaji wa timu ya Young Africans, basi wote wakafunga ndoa na leo haitwi tena Beatrice Chalamila bali ni Beatrice (Betty) MKWASA.
Leo hii Zawadi Makata baada ya kupata degree yake moja pale UDSM na kuolewa na Chambuso Mandunduza, Zawadi anagoma kuitwa Zawadi Mandunduza bali anataka kuitwa Zawadi Makata Mandunduzi, ili wakiachana mwakani aweze kuondoa ubini mmoja tu wa mumewe na yeye aendelee na 50 zake.
Daaah, kweli maisha yamebadilika sana..