Siku hizi wanawake wasomi hawatumii tena ubini (surnames) za waume zao pekee. Kuachana ni muda wowote

Ni usumbufu tu namambo yaliyopitwa na wakati.

Hawa hawa wanaokazia wanawake wabadili majina, hawataki hata kuvaa pete za ndoa, wanasema zinawabana vidole ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ ๐Ÿšฎ
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ