Siku Imewadia Nafunga Pingu ya Maisha

Wow..hongereni sana!Utulie sasa na umpende mkeo kikamilifu!
 
ongera kaka, kwa kufikia hatua muhimu
 
Kama ni kweli na si joke,,, be blessed ni uamuzi wa maana sana.
 
Hongera sana kwa nini mnaoana usiku jamani, mchana mliogopa nini? hongereni sana mungu awasimamie katika kila litakalo tendeka usiku huu
 
Mtangulize mungu kwny maisha yako na muheshmu mkeo na umpende na mtangulizen mungu kwny kila vikwazo mungu awatangulie
NINAKUTAKIA MAISHA MEMA NA YENYE FURAHA MUNGU AWABARIKI
 
Ashukuriwe Mungu. Nafunga ndoa leo usiku huu
Mungu alipomuumba Adam, hakumwacha awe peke yake, akamfanyia msaidizi wa kufanana nae- christina shusho. All the best na Mungu awatangulie!
 
Reactions: 3D.
kila la heri mpendwa,

naitazamia nyumba mpya
kama yerusalemu mpya,
ilivyo na Bwana Yesu,
Baba na Bwana
wa mbingu mpya na nchi mpya

nyumba yangu mpya,
iliyo na mume,
aliye baba yetu nyumbani,
aliye bwana wetu nyumbani,
aliye mpendwa wetu nyumbani

kama wewe utakavyokuwa usiku huu,
mume kwa mke wako nyumbani
baba kwa watoto wako nyumbani
na bwana kwao wote wa kwako nyumbani

mbarikiwe nyinyi wote

heri ya pasaka
 
Reactions: 3D.
Hongera Mkuu. Sisemi mengi kwa kuwa utakuwa umeshayasikia. Msikilize mwenzako.
 
HONGERA NDG YANGU....NAOMBA MUNGU NDOA YAKO IDUMU MILELE...NA WOTE WENYE PUMZI WASEME AMEN....😛ray2:
 
Benno.........Is this the way you chose to end our relationship??..................All the best mylove. Mpende sana Mkeo, mtii pia umsikilize:A S 465:
 
Hongera sana....Mungu mwema awatangulie katika kila hatua ya maisha yenu.
 
JF bana! yaani baada ya kumchangia nyinyi mnampa hongera tu?
Hongera jibaba, JF kipimo cha uvumilivu, ndoa kipimo cha ............ , watamalizia wahenga.
 
umepata wapi muda wa kubrowse jf?kila la kheri.:nerd:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…