klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
umepata wapi muda wa kubrowse jf?kila la kheri.:nerd:
Achangiwe pesa ya nini tena wakati harusi ndo hiyo??Post zetu ni zawadi tosha!mjukuu mtiifu, nilikusudia kumchangia mahela.
Mungu alipomuumba Adam, hakumwacha awe peke yake, akamfanyia msaidizi wa kufanana nae- christina shusho. All the best na Mungu awatangulie!
u r vere predictable, nilijua tu utajibu hivi. Acha niwasiliane nae kumuweka sawa kwa matumizi kama ya mwezi hivi, na wewe ndoa yako ikikaribiia usisite kunijulisha.Achangiwe pesa ya nini tena wakati harusi ndo hiyo??Post zetu ni zawadi tosha!
u r vere predictable, nilijua tu utajibu hivi. Acha niwasiliane nae kumuweka sawa kwa matumizi kama ya mwezi hivi, na wewe ndoa yako ikikaribiia usisite kunijulisha.
khaaaaa! barua ya posa imeletwa lini?Kloro puhhleeez!!Haya yangu wiki ijayo...
Leo mchana nadhani...khaaaaa! barua ya posa imeletwa lini?
unajua sheria za JF haziruhusu off topik halaf sisi tuko off topik. Think! Lizzy think!Leo mchana nadhani...
unajua sheria za JF haziruhusu off topik halaf sisi tuko off topik. Think! Lizzy think!
kwa ndoa za siku hizi usishangae tayari amenyimwa unyumba! dah! god forbidI hope sasa hivi yuko honeymoon anakenua tu
ndoa ndio mada, sasa habari za michango zimekujaje?Hey...bado tunaongelea ndoa kwahiyo hii ni ONtopic japo haimhusu ndugu yetu tena!Kwanza mwenyewe yupo mwezi wa asali huko!
ndoa ndio mada, sasa habari za michango zimekujaje?
sio CPU ameanzisha hizi habari?Nikuulize wewe manBraza!
nipo laiv harusini hapa, ulizeni masuala yenu na nitawahabarisha kinachoendelea. Pilau lililiwa mida za jioni sasa hivi wapambe tunaserebuka na rumba la kandabongoman. isambe iyooo! mwanamama ee kenya nairobi isambe iyoooo. haya kwassa kwassa kwassa!Hongera sana mkuu..
pilau wapi sasa??
Ashukuriwe Mungu. Nafunga ndoa leo usiku huu[/QUOT
HONGERA SAANA, SHUKRANI KWA KANISA KWA HIZI NDOA ZA MSAMAHA