Siku isiyo ya kufa nyani wala miti haitelezi

Siku isiyo ya kufa nyani wala miti haitelezi

Joined
May 22, 2017
Posts
65
Reaction score
298
Siku moja nilituma text kwa njia ya kawaida nilikuwa namtumia mshkaji wangu wa kike. Msg ilikuwa mbaya yaani kiufupi haikuwa na heshima.

Bahati mbaya sana ile text ilienda kwa Wife na si unajua kwenye text kawaida hakuna "Delete for everyone" [emoji3]

Basi bhana baada ya kuona tu kuwa nimesha send pale pale niliamua kupiga (Call) kwa wife nikaanza kujibebisha mtindo flani hv [emoji3]

Unajua nilifanyaje? Baada ya kupokea tu simu nianzisha story kisha nikamuita jamaa yangu nikamwambia kwa ishara twende home chap, akawasha pkpk wakati huo mimi naendele kuongea. Wife alitaka kushtuka kama kuna kitu sababu haikuwa kawaida yangu kupiga simu na kuongea muda mrefu.

Distance kutoka Job mpaka home ni around 15 minutes, so niliongea bila kukata simu mpaka nilipofika getini Wife akaniona akacheka then akaondoa simu skioni akaja mbio simu akiwaAmeishikilia mkononi, alipofungua tu nikamkumbatia then nikamkiss na kumwambia nimetoka huko kote nimekuja tu kumwambia nampenda [emoji7], palepale nikamuuliza tumeongea Dk ngapi? Alipotaka kunyanyua simu nikaichukua mimi nikasema Aisee tumeongea Dk 16 aisee mpaka simu ni ya moto. Kwa kicheko cha mahaba pale pale nikaingia kwenye text zake nikakuta ile msg haijafunguliwa nimaifungua then nikaifuta.

Basi bhana nikamwambia Wife moyo wangu umeridhika basi ngoja nirudiiii [emoji3][emoji3]

Nikapigwa busu moja kali nikarudi nikatafuta sehemu nikanunua wine nikanywa [emoji119][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Jinsi gani baadhi ya wanaume mnachezea kichago ndani ya nyumba zenu...maana si kwa wasi wasi huo ambao ni sawa na mtoto wa primary na dingi yake juu ya kukamatwa na kimemo cha mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom