Siku kama ya leo katika mwaka 1958

Siku kama ya leo katika mwaka 1958

Adil_101

Senior Member
Joined
Jul 26, 2022
Posts
110
Reaction score
345
Karibu tena na uzi mwengine!

Siku kama ya leo katika mwaka 1958, kulitokea mauaji, sijui nisemeje lakini iko hivi...[emoji116]

Mwaka 1958 kuna dogo wa miaka 16 aliyekuwa akifahamika kwa jina la Jeremiah Revees aliuliwa kwa electric chair,([emoji298]️ 🪑[emoji298]️) huko jijini Alabama.

Hii ni baada tu ya polisi kuwa tayari wameshamtengeneza dogo kisawasawa.

I literally mean wameshamtesa vya kutosha na kumlazimisha atoe false confessions.

Nini chanzo chake, mie na wewe hatukijui ila kwanza ngoja tucheki background story iliyokuwepo . . .

Sometimes back in july 1951, Jeremiah Revees, akiwa ni na umri wa miaka 16 na ni mwanafunzi wa high school alifumwa na mwanadada wa kizungu aliefahamika kwa jina la Mabel Ann Cowder wakiwa wanapiga papuchi [emoji725][emoji725][emoji725]

Na kwa hofu ya kupata aibu, mwanadada huyu akamsingizia kuwa dogo ndie aliyekuwa anambaka. . . . (inahuzunisha sana)

Basi jamaa hakuchelewesha akakamatwa na [[emoji601][emoji2642]] kupelekwa katika gereza la Kilby kwa ajili ya "questioning".

Hawa majamaa[[emoji601][emoji2642]] walimuweka dogo katika kiti cha umeme na kumwambia kuwa atauliwa kwa shoti, lah sivyo akubali kuwa amefanya hayo makosa ambayo yameripotiwa na wanawake(wakizungu) kwa kipindi chote cha summer.

Such a sad tale...

Kutokana na uwoga aliokuwa nao, dogo alikubali kuwa amefanya hayo makosa.

Ijapokuwa aliendelea kusisitiza kuwa yeye ni innocent, lakini aaah wap!!???

Jeremiah alihukumiwa kifo baada ya siku mbili tu alizokuwa mahabusu....yaan maamuzi ya kuwawa yalifanyika ndani ya nusu saa tu baada ya kuingia Mahakamani.

Ijapokuwa the local black community ilikuwa ikitambua mahusiano ya Jeremiah Reeves na Mabel Ann Cowder.

Lakini, haikuwa na nguvu ya kuzuia tukio hili kutokea....kutokana na tukio hili ilipelekea Montgomery NAACP kutaka attention ya National Lawyer Thurgood Marshall.

Na desemba 6, 1954 hawa maadvocates waliweza kushinda reversal ya Jeremia confessions, pindi pale U.S supreme court ilipomshutumu Hakimu wa kesi ya Jeremia kuwa alikataa kusikiliza ushahidi uliokuwa ukionyesha kuwa polisi walimtesa mtuhumiwa na kumlazimisha akiri makosa yasioyake.

Na pia second trial iliyotokea mnamo mwezi June 1955, Jeremiah alipelekwa mahakamani na kuhukumiwa kifo. Na mara hii dhamana zote zilikataliwa.

Na akawa anasubiri zamu yake ya kufa mpaka alipotimiza umri ambao unafaa kuuliwa kupitia kiti cha umeme.
.
* * * * THE END * * * *

View attachment 2571216View attachment 2571214View attachment 2571215
 
What is law in the world?
I dont know... because law lack reality... what is called law today is unlawfully at the future. What is meaning of life... its un certainly
 
Back
Top Bottom