Siku lopolopo mjuaji wa JF alipomkandia James Kotei leo limemshuka shuuuu

Siku lopolopo mjuaji wa JF alipomkandia James Kotei leo limemshuka shuuuu

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Lopolopo wetu,sisemi sana jionee mwenyewe attchment ili siku ukiona kaandika kumsifia James Kotei umzomeee tena mzomeee kweli
masifaaaaaaaaaaaaaaaa mjuaji.jpg
 
Lopolopo wetu,sisemi sana jionee mwenyewe attchment ili siku ukiona kaandika kumsifia James Kotei umzomeee tena mzomeee kweli
View attachment 1067321
Angalieni sasa Gentamycine alivobadilika na kumsifia Kotei wakati awali aliidhalilisha kamati ya usajili chini ya Hans poppe

QUOTE="GENTAMYCINE, post: 31032952, member: 156632"]
Hata huyo Erasto Nyoni wako hapo Simba SC anaoneka mzuri na katulia kwakuwa huwa analindwa vizuri mno na ' Unsung Hero ' Kiungo ' Mtifuaji ' Mghana James Kotei ambaye ndiye huwa anahakikisha ' back line ' yote ya Simba SC iko salama na haipati madhara yoyote. Mchezaji wako mwenyewe mahiri kabisa Kiungo Jonas Gerald Mkude anakuambia hirizi yake inayomfanya awe anang'aa vyema na kutembea vizuri pale katikati huku akizitupa huku na kule na zile Kampa Kampa tena ni pale tu nyuma yake akiwa anazibwa na James Kotei ambaye hadi sasa ndiye Mchezaji pekee wa Simba SC anayeongoza Kukimbia umbali mrefu ndani ya Uwanja kuliko Mchezaji yoyote mwingine wa Simba SC hii ya sasa.
 
Huyu jamaa nadhani ana matatizo kwenye ubongo ,

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Back
Top Bottom