nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Angalieni sasa Gentamycine alivobadilika na kumsifia Kotei wakati awali aliidhalilisha kamati ya usajili chini ya Hans poppeLopolopo wetu,sisemi sana jionee mwenyewe attchment ili siku ukiona kaandika kumsifia James Kotei umzomeee tena mzomeee kweli
View attachment 1067321
HahahaHuyu jamaa huwa hajui kitu huwa anabahatisha tu
Ujanja ujanja mwingi eti mi najuana na wachezaji mara nn sijui kumbe bure kabisa
HahaaahaaaaaaaaaJamaa ni Lizee ni Lijuaji hili kila kitu linajua mpaka linaboa yaan nina mpango wa kulipa ban nisilione [emoji3][emoji3]
Akili kubwa nanibhuyo lopolopo wa jf!!??Akili kubwa sana huyo jamaa. ๐
Huyu jamaa nadhani ana matatizo kwenye ubongo ,
'When youโve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.โ David Alaba
Aisee ngoja nami nimfanye hvyoView attachment 1068972
Nilimuweka kwenye Ignore list baada ya kugundua hilo