Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Siku yangu leo imeharibika mazima wakuu. Fundi leo nimejua kuaibika..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha tuu... Siku leo imekuwa mbaya kikubwa sijaumia tuMkuu,
Humu Jf wote tuna magari iweje wewe hauna hata ka starlet,vits, ist mkuu 😊 😅 bagoshaa
Pole sana mzee
Pole Sana mkuu uwe makini Mimi huwa sigombei DALADALA Sana Sana nigeuke nalo au nipande bajaji.Mkuu acha tuu... Siku leo imekua mbaya kikubwa sijaumia tu
Huwezi kuwa seriously ni tukio la haraka hawajaona watu wengi mkuu...... Ilaa daaah full kuaibikaNi wewe ulikuwa unagombania gari hapa 🤣🤣🤣
Ahsante mkuu...Pole Sana .
Kabla haujatoka nyumbani usishau kujifukiza Ubani au udi na kuiombea siku yako.
Kumbe ndio wewe? Nilikua nampango wa kuleta uzi wa mtu mzima kaanguka kama gunia la viazi ila bahati yako umeniwahiSiku yangu leo imeharibika mazima wakuu.
Fundi leo nimejua kuaibika..
Si mnasemaga mbagala ndo wanaanguka..!!?Siku yangu leo imeharibika mazima wakuu.
Fundi leo nimejua kuaibika..
Jiheshimu mkuu l..Kumbe ndio wewe? Nilikua nampango wa kuleta uzi wa mtu mzima kaanguka kama gunia la viazi ila bahati yako umeniwahi
Kama unapanga tafuta chumba sehemu Kama temeke (Tandika)Ahsante mkuu...
Kuna watu hawana stape pale wanapokumbia mnajikuta mnakanyagana hovyo hovyo an
Mkuu leo hapa hamsha hamsha zimekua nyingi .Si mnasemaga mbagala ndo wanaanguka..!!?
Mkuu biashara zangu zote zipo huku hivo kuhama ni uongo aiseee. Ila hii haitotokea tena maana taamka saa kumi asubuhiKama unapanga tafuta chumba sehemu Kama temeke (Tandika)
Swala la usafiri utakuwa umefanikiwa hasa kwenda mjini.
Mtu kuanguka kama gunia la viazi..!!!!Kumbe ndio wewe? Nilikua nampango wa kuleta uzi wa mtu mzima kaanguka kama gunia la viazi ila bahati yako umeniwahi
Mkuu biashara zangu zote zipo huku hivo kuama ni uwongo aiseee.Ila hii haitotokea tena maana taamka sa kumi asubuhi
Walikupigaa push au🤣🤣🤣🤣Siku yangu leo imeharibika mazima wakuu.
Fundi leo nimejua kuaibika..
Sawa mkuu nimekuelewa sana...Hapo vizuri sana.
Usigombanie daladala Ila tenga miatano mpe MTU agombanie siti then unampa hiyo miatano.
Kama kuna ulazima wa kufanya hivyo