Siku mhanga atakaponufaika na bima ndipo ajali zitapungua kama si kuisha kabisa!

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
2,753
Reaction score
12,932
Nisikuchoshe na usinichoshe,tusichoshane.

Kwanza kabisa kabla ya yote naomba kufahamu sheria zetu za Bima kuhusu fidia za wahanga wa ajali zinasema nini!,tafadhali kama kuna wanasheria hapa mnisaidie.na kama sheria ipo mbona huwa sioni utekelezaji wake?,au hizo Bima zinazokatwa na hayo makampuni ya usafirishaji huwa ni kwa ajili ya kuwanufaisha wao tu na si wahanga?,hebu wanasheria tafadhali nisaidieni.

Pili,mara nyingi nimekuwa mtu wa kushuhudia kama si kusikia namna ambavyo ajali zimekuwa zikimaliza maelefu kwa mamia kila mwaka hapa Tanzania.Ajali nyingi zinazotokea hapa nchini chanzo kikubwa ni uzembe wa kutokufuata sheria za barabarani,pia zipo ajali zinazosababishwa na uchakavu wa vyombo vya usafiri,vilevile zipo ajali zinazosababishwa na miundombinu mibovu.

Nadhani umefika muda BIMA ishike hatamu kwa Wahanga wa ajali zinazosababishwa eidha na serikali kwa uzembe kupitia idara zake au uzembe wa madereva,marubani au uchakavu wa vyombo husika,Sasa ili kupambana na ajali za mara kwa mara ambazo kila uchwao pamoja na udhibiti wa kila namna lakini zimeshindikanika,napendekeza yafuatayo:-

AJALI ZOTE ZITAKAZOSABABISHWA NA BUS,NAPENDEKEZA MALIPO YA FIDIA YATOKANAYO NA BIMA YAWE KAMA IFUATAVYO:-

1.Ajali zote zinapotokea,eidha ziwe zimekatisha uhai au kujeruhi,wahanga inapaswa walipwe ndani ya muda usiozidi siku 30,na malipo yafanyike kama ifuatavyo.Kama kutakuwa na vifo,basi kila familia iliyofiwa na mpendwa wao ilipwe milioni 10 ndani ya muda huo,hii iwe ni lazima na isimamiwe na sheria,tuache mambo ya kijinga ambayo yanapelekea watanzania wengi kupoteza maisha kwa uzembe tu!.

2.Majeruhi wa ajali waliopoteza viungo vya miili yao kwa sababu ya uzembe na ujinga,kila mmoja alipwe Tsh 30 milioni,na hii ifanyike haraka sana ndani ya muda huo.

3.Abiria wote ambao wametoka salama kwenye ajali inapaswa walipwe kila mmoja Tsh 5 milioni,wanapaswa walipwe kwasababu ajali imewapotezea muda wao,imewapotezea mali zao na bado imewaathiri kisaikolojia,na hii inapaswa ilipwe ndani ya muda huo nilioupendekeza.

AJALI ZITAKAZO SABABISHWA NA NDEGE,NAPENDEKEZA MALIPO YA FIDIA YATOKANAYO NA BIMA YAWE KAMA IFUATAVYO:-
1.Wahanga wa vifo kila familia ilipwe Tsh 20 milioni.

2.Wahanga wa viungo walipwe Tsh 60 milioni.

3.Wahanga wa michubuko,kupotezewa muda,kupotezewa mali na kuathiriwa kisaikolojia Tsh 10 milioni.

AJALI ZOTE ZITAKAZOSABABISHWA NA TRENI AU MAGARI YA SERIKALI MALIPO YA FIDIA YATOKANAYO NA BIMA YAWE KAMA IFUATAVYO:-
1.Wahanga wa vifo kila familia ilipwe milioni Tsh 50 milioni.

2.Wahanga wa viungo vya miili kila mtu iwe Tsh 100 milioni.

3.Wahanga wa michubuko,kupotezewa muda,kupotezewa mali na kuathiriwa kisaikolojia iwe Tsh milioni 30.

Hii itahusisha kila idara ya serikali ambayo chombo chake kitasababisha ajali eidha makusudi au kutokukusudia!.

AJALI ZITAKAZO SABABISHWA NA BAJAJI NAPENDEKEZA MALIPO YA FIDIA YATOKANAYO NA BIMA YAWE KAMA IFUATAVYO:-
1.Wahanga wa vifo walipwe Tsh Tsh 5 milioni.

2.Wahanga wa viungo vya miili Tsh 10 Milioni.

3.Wahanga wa michubuko na saikoloji Tsh 3 milioni.

AJALI ZITAKAZOSABABISHWA NA BODABODA NAPENDEKEZA MALIPO YA FIDIA YATOKANAYO NA BIMA YAWE KAMA IFUATAVYO:-
1.Wahanga wa vifo Tsh milioni 3.

2.Wahanga wa viungo vya miili Tsh milioni 5.

3.Wahanga wa michubuko na saikolojia Tsh milioni 2.

Hii automatically ndugu zangu amini usiamini lazima itapunguza ajali kama si kumaliza kabisa,kinachosababisha ajali kwenye hii nchi na kupelekea watu wengi kufa ni kutokufuata sheria,eidha kwa dereva au mmiliki au serikali yenyewe, sasa ili kuondoka huu mkanganyiko wa kipumbavu ambao unapelekea ndugu zetu,marafiki zetu na wapendwa wetu kupoteza maisha naomba wahanga walipwe hivi kupitia sheria zitakazotungwa haraka uwezekanavyo,na kama hizo sheria zipo naomba zirekebishwe ili utekelezaji wake uanze mara moja!.

Hii ya kusema kila siku kufunga vithibiti mwendo,mara askari wa usalama barabarani sijui kupiga tochi,mara sijui blah blah ya zilienda zikarudi,hazitosaidia kitu!,ili kudhibiti ajali inapaswa watu walipwe hicho kiasi cha fedha kupitia Bima zinazokatwa na vyombo vya usafiri husika.Hamuwezi kusababisha vifo,majeraha na msongo wa mawazo kwa watu halafu kila siku serikali imebaki kimya kama mazumbukuku yasijue nini cha kufanya,hili suala la malipo lisiwe na mjadala,na kazi ya abiria siyo kujua uzembe wa dereva ni upi au uzembe wa serikali ni upi,yeye anachopaswa ni kulipwa fidia halafu mambo ya uzembe watajuana kati ya serikali na mwenye chombo husika baada ya kupelekana mahakamani,huko ndiko watashikana uchawi wao wenyewe na kujua nani alikuwa mzembe eidha ni watu wa Tanroad au wamiliki wa vyombo kuingiza vyuma chakavu barabarani au uzembe wa dereva kutozingatia sheria.

Ukingalia Ajali ya Ndege hapo Bukoba(Precision Air)yawezekana uzembe ukawa kwa waongozaji wa uwanja husika(Serikali),sasa hatuwezi kuvumilia huu ujinga kwa makosa eidha ya serikali au chombo husika,Abiria au muhanga anapaswa kulipwa haraka iwezekanavyo na tena yawe malipo makubwa kama nilivyopendekezwa hapo ili akili ianze kufanya kazi kwa vichwa vibovu vya baadhi ya watanzania wasiotaka kutimiza wajibu wao kwa ajili ya watu wengine.

Malipo haya yatatazamwa pia kwa vyombo binafsi.

Niwahakikishie,tukifanya hivi na sheria ikasimamia ipasavyo,tunaweza kukaa ndani ya mwezi hadi miezi sita bila kusikia ajali.Sheria hii kali itaondoa kabisa ajali na watu au wamiliki wa vyombo watakuwa makini mno kupita maelezo.

Naiomba serikali iache blah blah za kisiasa na iangalie maisha ya mwananchi,ni serikali ya ajabu tu duaniani ambayo haijali uhai wa watu wake,naomba serikali ya Tanzania isiwe ni miongoni mwao.

HAYO NI MAPENDEKEZO NA KAMA NA WEWE MDAU WA JF UNA MAPENDEKEZO TAFADHALI ANDIKA HAPA ILI TUONE NAMNA YA KUSAIDIA TAIFA KWASABABU MIMI NA WEWE NI WAHANGA WATARAJIWA WA AJALI.
 
Siku ajali za magari kama mabasi zitakapoanza kutoa fidia kwa wahanga naamini huo ndio utakuwa mwisho wa ajali za kizembe.
 
Nisikuchoshe na usinichoshe,tusichoshane.

Kwanza kabisa kabla ya yote naomba kufahamu sheria zetu za Bima kuhusu fidia za wahanga wa ajali zinasema nini!,tafadhali kama kuna wanasheria hapa mnisaidie.na kama sheria ipo mbona huwa sioni utekelezaji wake?,au hizo Bima zinazokatwa na hayo makampuni ya usafirishaji huwa ni kwa ajili ya kuwanufaisha wao tu na si wahanga?,hebu wanasheria tafadhali nisaidieni.

Pili,mara nyingi nimekuwa mtu wa kushuhudia kama si kusikia namna ambavyo ajali zimekuwa zikimaliza maelefu kwa mamia kila mwaka hapa Tanzania.Ajali nyingi zinazotokea hapa nchini chanzo kikubwa ni uzembe wa kutokufuata sheria za barabarani,pia zipo ajali zinazosababishwa na uchakavu wa vyombo vya usafiri,vilevile zipo ajali zinazosababishwa na miundombinu mibovu.

Nadhani umefika muda BIMA ishike hatamu kwa Wahanga wa ajali zinazosababishwa eidha na serikali kwa uzembe kupitia idara zake au uzembe wa madereva,marubani au uchakavu wa vyombo husika,Sasa ili kupambana na ajali za mara kwa mara ambazo kila uchwao pamoja na udhibiti wa kila namna lakini zimeshindikanika,napendekeza yafuatayo:-

AJALI ZOTE ZITAKAZOSABABISHWA NA BUS,NAPENDEKEZA MALIPO YA FIDIA YAWE KAMA IFUATAVYO:-

1.Ajali zote zinapotokea,eidha ziwe zimekatisha uhai au kujeruhi,wahanga inapaswa walipwe ndani ya muda usiozidi siku 30,na malipo yafanyike kama ifuatavyo.Kama kutakuwa na vifo,basi kila familia iliyofiwa na mpendwa wao ilipwe milioni 10 ndani ya muda huo,hii iwe ni lazima na isimamiwe na sheria,tuache mambo ya kijinga ambayo yanapelekea watanzania wengi kupoteza maisha kwa uzembe tu!.

2.Majeruhi wa ajali waliopoteza viungo vya miili yao kwa sababu ya uzembe na ujinga,kila mmoja alipwe Tsh 30 milioni,na hii ifanyike haraka sana ndani ya muda huo.

3.Abiria wote ambao wametoka salama kwenye ajali inapaswa walipwe kila mmoja Tsh 5 milioni,wanapaswa walipwe kwasababu ajali imewapotezea muda wao,imewapotezea mali zao na bado imewaathiri kisaikolojia,na hii inapaswa ilipwe ndani ya muda huo nilioupendekeza.

AJALI ZITAKAZO SABABISHWA NA NDEGE,NAPENDEKEZA MALIPO YA FIDIA YAWE KAMA IFUATAVYO:-

1.Wahanga wa vifo kila familia ilipwe Tsh 20 milioni.

2.Wahanga wa viungo walipwe Tsh 60 milioni.

3.Wahanga wa michubuko,kupotezewa muda,kupotezewa mali na kuathiriwa kisaikolojia Tsh 10 milioni.

AJALI ZOTE ZITAKAZOSABABISHWA NA TRENI AU MAGARI YA SERIKALI MALIPO YA FIDIA YAWE KAMA IFUATAVYO:-

1.Wahanga wa vifo kila familia ilipwe milioni Tsh 50 milioni.

2.Wahanga wa viungo vya miili kila mtu iwe Tsh 100 milioni.

3.Wahanga wa michubuko,kupotezewa muda,kupotezewa mali na kuathiriwa kisaikolojia iwe Tsh milioni 30.

Hii itahusisha kila idara ya serikali ambayo chombo chake kitasababisha ajali eidha makusudi au kutokukusudia!.

AJALI ZITAKAZO SABABISHWA NA BAJAJI NAPENDEKEZA MALIPO YA FIDIA YAWE KAMA IFUATAVYO:-

1.Wahanga wa vifo walipwe Tsh Tsh 5 milioni.

2.Wahanga wa viungo vya miili Tsh 10 Milioni.

3.Wahanga wa michubuko na saikoloji Tsh 3 milioni.

AJALI ZITAKAZOSABABISHWA NA BODABODA NAPENDEKEZA MALIPO YAWE KAMA IFUATAVYO:-

1.Wahanga wa vifo Tsh milioni 3.

2.Wahanga wa viungo vya miili Tsh milioni 5.

3.Wahanga wa michubuko na saikolojia Tsh milioni 2.

Hii automatically ndugu zangu amini usiamini lazima itapunguza ajali kama si kumaliza kabisa,kinachosababisha ajali kwenye hii nchi na kupelekea watu wengi kufa ni kutokufuata sheria,eidha kwa dereva au mmiliki au serikali yenyewe,sasa ili kuondoka huu mkanganyiko wa kipumbavu ambao unapelekea ndugu zetu,marafiki zetu na wapendwa wetu kupoteza maisha naomba wahanga walipwe hivi kupitia sheria zitakazotungwa haraka uwezekanavyo,na kama hizo sheria zipo naomba zirekebishwe ili utekelezaji wake uanze mara moja!.

Facts chief 🤝🤝🤝🤝
 
UMUGHAKA, kwani hawa wahanga wa PW wameambiwa watalipwa shilingi ngapi? Mbona naona makadirio yako yako chini sana?

Umpoteze ndugu yako halafu ulipwe Toyota Crown (20mil) si haki hata kidogo
 
Ni

Ni wazo zuri naona.
 
UMUGHAKA, kwani hawa wahanga wa PW wameambiwa watalipwa shilingi ngapi? Mbona naona makadirio yako yako chini sana?

Umpoteze ndugu yako halafu ulipwe Toyota Crown (20mil) si haki hata kidogo
Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume ni kiasi kidogo na ndiyo maana mimi hapo nimetoa mapendekezo kiasi cha fidia za malipo ya Bima kiwe kikubwa ili angalau kudhibiti ajali
 
Watu wengi bado hawana elimu ya kutosha kuhusu/mtu akipata ajali na kufatilia bima imlipe

Ova
 
Miaka ya nyuma kdg nlikula sana hela kwa style hii.....
Ajali zikitkea kwangu ilikuwa dili

Ova
 
Umetumia vigezo gani kwa hyo malipo kutofautiana? ajali ni ajali tu why malipo ya ndege na bus yatofautiane?
 
Back
Top Bottom