LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Utalii sio lazima uende Serengeti
Moja ya utalii ni kwenda mikoa ambayo hujawahi kufika unaweza ukajikuta unafurahia pia
Kuna siku nilipanda basi tu nikasema ngoja nikaione Mtwara kama masihara
Ile napita Mkuranga, Kibiti, Rufiji Daraja la Mkapa, Nangukuru, Lindi aisee Mkoa Wa PWANI, LINDI, MTWARA kuna madhari nzuri sanaaaa hapo ndipo nlipojua utalii Wa Ndani sio lazima uende Makumbusho
Next natarajia kwenda Tukuyu nimesikia panasifiwa sana baada ya hapo next Kilwa Kivinje😀😀