Kama ulikua akilini mwanguUtalii sio lazima uende Serengeti
Moja ya utalii ni kwenda mikoa ambayo hujawahi kufika unaweza ukajikuta unafurahia pia
Kuna siku nilipanda basi tu nikasema ngoja nikaione Mtwara kama masihara
Ile napita Mkuranga, Kibiti, Rufiji Daraja la Mkapa, Nangukuru, Lindi aisee Mkoa Wa PWANI, LINDI, MTWARA kuna madhari nzuri sanaaaa hapo ndipo nlipojua utalii Wa Ndani sio lazima uende Makumbusho
Next natarajia kwenda Tukuyu nimesikia panasifiwa sana baada ya hapo next Kilwa Kivinje😀😀
Nimeioenda idea Yako aisee.Utalii sio lazima uende Serengeti
Moja ya utalii ni kwenda mikoa ambayo hujawahi kufika unaweza ukajikuta unafurahia pia
Kuna siku nilipanda basi tu nikasema ngoja nikaione Mtwara kama masihara
Ile napita Mkuranga, Kibiti, Rufiji Daraja la Mkapa, Nangukuru, Lindi aisee Mkoa Wa PWANI, LINDI, MTWARA kuna madhari nzuri sanaaaa hapo ndipo nlipojua utalii Wa Ndani sio lazima uende Makumbusho
Next natarajia kwenda Tukuyu nimesikia panasifiwa sana baada ya hapo next Kilwa Kivinje😀😀
Sana kaka pwani lindi na mtwara pazuri sanaUpo sahihi mkuu, na upite hapo kipindi cha masika ndo uta enjoy zaidi ule uoto wa asili ni burudani tosha kwa macho na akili
Sent from my SM-G998U using JamiiForums mobile app
Njoo utanikutaMimi natamani niende mwanza ni vile sina mwenyeji huko