Siku moja written interview za masomo mawili. Je, niache moja?

Siku moja written interview za masomo mawili. Je, niache moja?

Unapiga simu za nini sasa Mwalimu, unataka waahirishe usaili mmoja kwasababu wewe umepangwa sehemu mbili siku moja muda unaofanana?

.......Chagua somo moja lala nalo mbele, simu haziwezi saidia kitu muda huu.
 
Hii zaidi ya betting🤣🤣.bora nichangue kuna somo tuko 400 tu ila sijajua wanataka watu wangapi
 
Malengo Yako ni yapi,Gharama,uwezo n.k ziwe sababu kwako kuchagua aina ya interview kwenda.
 
Sina uhakika kama mambo yamebadilika. Lakini saili nilizowahi kufanya walikuwa wanaruhusu kufanya usaili zaidi ya mmoja, baada ya kumaliza usaili wa kwanza wanaoendelea na usaili mwingine huwa wanabaki kwenye chumba cha usaili.

Possibilities za kufanya zote zilikuwepo, sijui kwenu walimu kama watakuja na utaratibu mpya. Kuhusu muda ndio huo huo. Hakuna usaili unaofanyika mchana au jioni. Saili zote huwa wanatangaza kuwa zinaanza saa 1 asubuhi.
 
Ase hii mbona inachanganya sana? Yaani tarehe 27 mwezi huu nafanya wrriten interview za masomo mawili na muda ni huohuo.

Kwamba niachane na somo moja? Kwasababu napiga simu zao hazipokelewi.
Unadhani Kwanini pdf la waliokuwa shortlisted, limeondolewa kwenye pages za PSRS ?

Asking for a friend.
 
Hii zaidi ya betting[emoji1787][emoji1787].bora nichangue kuna somo tuko 400 tu ila sijajua wanataka watu wangapi
Idadi ya nafasi ziliandikwa kwenye tangazo la kazi, kila mkoa wenye uhitaji ulibainishwa pamoja na idadi ya nafasi.

Tafuta hilo tangazo ujipatie jibu la dukuduku lako
 
Back
Top Bottom