Siku Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika

Siku Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika

Molaro

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
818
Reaction score
577
Naomba kuuliza kwa wenye utaalamu wa sheria,siku Muungano uliopo ukivunjika:
1.Je kutakuwa na gharama za kuuvuna mkataba kama ilivyo kwa mikataba mingine?
2:Je Kuna mali za kugawana kati ya nchi hizi mbili?
3.Je Watanganyika waliopo Zanzibar watakuwa na uraia wa wapi na vipi kwa wazenji waliopo bara?
4.Watumishi wa umma waliopo pande za Muungano wakimo Jeshi itakuwaje.
 
Kama kawaida,wanzazibari warudi kwao na watanganyika warudi kwao,najua kutakuwa na utaratibu wa kuingia nchi si yako kama unavyofanya marekani na sehemu nyingine. mali zitagwanywa. watumishi wa umma kula mmoja atarudi kwao akafanye kazi katika idara hiyo hiyo.
 
Hilo la watumishi kufanya kazi hiyo watakaporudi nchini mwao ,nafikiri hapo ndipo pagumu kwa waCCM walioserikalini maana hilo halitakuwepo kwani serikali ya Muungano imevunjika ,hivi hawa wa Tanganyika watarudi wapi wakti serikali yao haipo ,au unataka kutwambia wao ndio mtawakubali kuunda serikali ya Tanganyika ? Bro kifungu hicho ndicho kinachowafanya waccm vigogo kuwashawishi wajumbe waingie mkenge wa serikali mbili tu ,maana hata ile mishahara ya wastaafu wa serikali huenda ikatoweka ,WaCCM wamekamata hapo kwenye serikali mbili kwani ndipo wanapokwapua na kukwiba kwa maslahi yao binafsi.
 
Back
Top Bottom