Mnhamba jr
Senior Member
- Mar 10, 2023
- 164
- 448
Wakuu habari,
Kuna mjamzito hapa kapitiliza siku zake za kujifungua, leo hii ni siku ya 13 tangu tarehe ya makadirio aliyo andikiwa. Huu ni ujauzito wake wa pili na wa kwanza haukuwa na changamoto zozote na alijifungua kwa njia ya kawaida.
Mzazi mtarajiwa haelewi hapa maana anadunda yaani dalili ya uchungu hana kabisa. Maoni yenu wakuu hiki kiumbe kimeng'ang'ania tumboni bado.