Mnhamba jr
Senior Member
- Mar 10, 2023
- 164
- 448
Noted!Chunga sana,kama wewe ndo baba wa mtoto akili za kuambiwa changanya na zako,yawezekana mimba si yako bali analazimisha siku ziendane kulingana na tarehe Mliyokutana
Mkuu, hospital tumeenda juzi ijumaa na akachekiwa ultra sound wakasema hakuna tatizo arudi baada ya siku kumi. Hofu ninayo mimi mana sina uzoefu kwenye hili na naona siku zitakuwa nyingi sanaMpeleke hospital watamechek utra sound watakupa majbu ya ufasaha