Siku nikifa au ukifa nani atawajulisha watu humu JF

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
nimewaza na kujiuliza sana....

Nani atatangaza/kujulisha kuhusu kifo CHANGU/CHAKO humu jamvini...

Au ndo mtaenda na CODE
 
Mkuu cha msingi hapa ni kutafuta na Kujenga uhusiano wa kiukweli na members wawili au watatu hivi(trusted one's),binafsi ninaye mmoja ,she like my sister's, never betray me.ni ushauri tu
 
ni kweli mkuu
 
Back
Top Bottom