Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
nani ataanza kutoa taarifaWana JF Ndiyo Watatoa Taarifa
Sasa ata tukijua tuna impact gan au ndo unaforce umaarufunimewaza na kujiuliza sana....
Nani atatangaza/kujulisha kuhusu kifo CHANGU/CHAKO humu jamvini...
Au ndo mtaenda na CODE
Watatoa rambirambi zitakazosaidia matumizi ya msibani, utakuwa umesaidiwa indirect pasi nawe kujua.Watu wakijua nimekufa itanisaidia nini mimi marehemu?
[emoji2960]Sasa ata tukijua tuna impact gan au ndo unaforce umaarufu
hahahahaSasa ata tukijua tuna impact gan au ndo unaforce umaarufu
kwa majibu haya kweli mama ana raia wa ajabu sana ...Sasa ata tukijua tuna impact gan au ndo unaforce umaarufu
meona eehInabidi tuanze jenga urafiki na watu
Sasa yeye atakuwa kashakufa, atajuaje atakayeanza kutoa taarifanani ataanza kutoa taarifa
ni kweli mkuuMkuu cha msingi hapa ni kutafuta na Kujenga uhusiano wa kiukweli na members wawili au watatu hivi(trusted one's),binafsi ninaye mmoja ,she like my sister's, never betray me.ni ushauri tu
Majina tunayotumia humu yanajulikana?nimewaza na kujiuliza sana....
Nani atatangaza/kujulisha kuhusu kifo CHANGU/CHAKO humu jamvini...
Au ndo mtaenda na CODE
ndio maana nimeuliza hilo swali mkuuMajina tunayotumia humu yanajulikana?