Siku nikifa wanawake watalia mnoo.

Siku nikifa wanawake watalia mnoo.

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Siijui hiyo siku ila itakapokuja utakuwa msiba wa wanawake hakika.

Kuanzia upanga mpaka tukuyu

Buzurugwa mpaka korogwe

Naples mpaka turini

Ngarenaro mpaka same

Rukwa mpaka lufilyo

Moshi mpaka makorora

Kisumu mpaka horohoro

Bigwa Moro mpaka wanging'ombe

Songea mpaka chalinze

Mtalia na kusaga meno!!

Wanawake..!!!
 
Siijui hiyo siku ila itakapokuja utakuwa msiba wa wanawake hakika.

Kuanzia upanga mpaka tukuyu

Buzurugwa mpaka korogwe

Naples mpaka turini

Ngarenaro mpaka same

Rukwa mpaka lufilyo

Moshi mpaka makorora

Kisumu mpaka horohoro

Bigwa Moro mpaka wanging'ombe

Songea mpaka chalinze

Mtalia na kusaga meno!!

Wanawake..!!!
Mkuu usife kwanza kuna wanawake wa MADAGASKA hawajakujua bado...
 
Back
Top Bottom