Siijui hiyo siku ila itakapokuja utakuwa msiba wa wanawake hakika.
Kuanzia upanga mpaka tukuyu
Buzurugwa mpaka korogwe
Naples mpaka turini
Ngarenaro mpaka same
Rukwa mpaka lufilyo
Moshi mpaka makorora
Kisumu mpaka horohoro
Bigwa Moro mpaka wanging'ombe
Songea mpaka chalinze
Mtalia na kusaga meno!!
Wanawake..!!!