Siku nikifa

Unataka tujuane ili kutakiana safari njema siku ya kufa?
 
Kuna raha mbinguni kweli

Aisee huu uzi umenitoa kwenye mood
Ahhha sanaa mbinguni kuna raha hatari, kule ni kuimba na mapambio, Naona kama siku hazifiki vile, nina hamu kweli na mbinguni kwa baba,
 
Haha haha haha, sasa hapo tutakuwa tunakuona kwenye Forum Kubwa WARRIOUR FORUM, NAIJA FORUM, kwenye JF Utakuwa unaingia ila utakuwa siyo mpenzi sana kama sasa hivi
Mda huo na wewe utakuwepo hapa tz kweli? au ndio na wewe utakuwa umezaliwa Mexico huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…