Siku nilipo mutuliza jambanoko mbele ya jamii inayonizunguka na watu kuniita mafionso

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Ngoja niache maneno mengi nitililike na story moja kwa moja

Hii story lazima iwakonge kumoyo

Ilikuwa hivi,

Nilikuwa niko kidato cha pili shule moja ODOKO huko newala kusini, ilikuwa siku ya ijumaa kama kawaida siku hiyo ilikuwa ni siku ya kwenda disco kuruka majoka

Tulifika disco na kuanza kuruka majoka, mimi nilikuwa na demu mmoja mkali kinoma ambaye alinipenda humo humo ndan disco kisa tu nilikuwa nacheza kimamton yaan utazan watu wa jamaica, yaan kufikia tu hapo kuna baadh ya watu niliwapiga bao kwa sababu wao walikuwa wakicheza bila mademu

Sasa tukiwa tunaendeleza libeneke ilitokea fujo moja ambayo sijawah kuiona toka nizaliwe, kulikuwa kuna wanonko kama watatu hivi walioenda hewan walimwamuru dj afunge show kwa sababu wao hawatak hiyo show iendelee na kila mtu atawanyike

Wale wanonko walianzisha vag mle ndan na kila mtu alikuwa anakula kichapo cha kutosha na mlango ulifungwa asipite yeyote kutoka ama kuingia

Jamaa walisambaza mkono ile hatar had watu wote wakasalender mda huo mziki ulikiwa umezimwa

Sasa hawa wanonko walijichanganya baada ya kumuona demu wangu na kutaka kumchukua kwa nguvu aisee nilipandwa jaziba nikawambia kama kuna mwanaume hapa amguse huyu demu nimuoneshe kaz, jamaa walinizalau kutokana na umbo langu dogo HAWAKUJUA KAMA MIMI NI MWANAUME WA KANDA YA ZIWA

Mmoja akamugusa aisee nilipandisha munkalii ile mbaya nikashika chupa moja ya bia nikaipiga chin paaaaa poooo ikalia kama bomu la nyukilia acha watu watafutane mle ndan nikashika nyingine tena nikamutwisha ya kichwa yule jambanonko mmoja had ikapasukia kicwan kwake kipande kikabak mkonon nikakibamiza chini kikalia kama bomo puuuuuuuuuuuu

Nilikuwa na jambia lefu kama fyekeo ambalo nilikuwa nimelicha mgongon nikaondoka na sikio la mmoja kati ya wale majambanonko yule jamaa aliyekuwa mlangon akachia njia watu wakaanza kukimbia mi nikabaki na wale wawili

Aisee niliwalalua hadi huruma mazee

Watu walinisifu sana had yule demu akanambia usiku wa leo twende tukalale wote nikapata papuch ya bure mazee

Mtaan jina langu lilivuma sana. Kila sehemu niiyokuwa napita watu walikuwa wakiniita MAFIONSO MAFIONSO. yaan kila kona MAFIONSO MAFIONSO

ebhana mwanaume ni kuwq jasir acha uoga

LONDON BABY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…