Siku nIlivyolala na Mke wa Mtu kiutani utani tu

Duh, nimekuja speed nikajua nitona manyoya.
Mlidhani ngono mana ndivyo akili zenu mnavyowaza na wengine waliokasirika huko juu...kila thread mkiona neno "ngono" mnazikimbilia ..Leo sasa mnaumbuka
 
Dar exp. wabagua, Abiria toka Dar/Ars , hula msosi fresh, moto, huchagua wanavo taka, lkn toka Arsh/ Dar mawee! while in Korogwe! wanakulaga Makombo ya baridiii! malapulapi!!

Suluhisho; huna Mizigo?!! toka Arsa/ Dar, pandia, Himo! gari dogo lafaa..

Hasara kulala na nke wa ntu kiakili na ki-fikra! So anakoroma mzee mzima unavuta hisia? unahisi km unanyonya Nido zake? umemtumia bure, bila shukrani! mlipe, domo zege ni tabia tasa! ... ukiendekeza, mtindio wa ubongo waja!
 
Mlidhani ngono mana ndivyo akili zenu mnavyowaza na wengine waliokasirika huko juu...kila thread mkiona neno "ngono" mnazikimbilia ..Leo sasa mnaumbuka
Ni ngono hii! inabidi atubu! ''wamesha lala wote!! amezini naye Moyoni" ameona manyoya kwa hisia!
 
Write your reply...Fyatuu! Umetufyatua! Haya Bana Umeshinda! Ila Kuna Tofauti Kati Ya Kulala Na Kusinzia!
Jua kuwa Fyatu hakusinzia, alikuwa kafumba tu macho anasikilizia mguso, na kuzungusha akili kati chini kidogo, juu, nyuma! mbele, macho, doggy, mbuzi nk alifumba kupotezea tu, msinziaji ni mmoja, Mdada.
 
Sio kwa mpango huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…