Siku niliyo shuhudia muumini akivuta sigara kanisani huku misa ikiendelea

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Tukio hili ndo lilinifanya nisiende kanisani toka mwaka 2003.

Ni hivi siku hiyo nilichelewa kanisani so nikapata nafasi kwenye siti za nyuma..
Wakati misa inaendelea ghafla nikasikia harufu ya moshi wa sigara..Kupiga jicho pembeni namuona jamaa amekaa anavuta sigara.

I say nililitetemeka kwa hasira hadi glasi yangu ya pombe niliyokuwa nimeishika mkononi ikadondoka na kumwaga pombe yote ..

Toka siku hiyo sijaenda tena kanisani..

SOURCE: JAMAA WA KITAA
 
I know someone who had sex in church smh

Halafu na yeye pia sialikuwa anakunywa pombe. Wote wanamakosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…