Siku njema wadau yule wa tuma na kutolea ndo kaja leo

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
wadau maisha yana kwenda kasi !.
pesa ngumu na mambo ni magamu,mrejesho utakuja kwa tuma na kutolea
 
Ole wako umpe mimba mtoto wa watu na ukatae harafu ajifungue mapacha watatu[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Sasa atapataje mimba wakati unaona kabisa ana vidonge vya kuvaa kuzuia mimba na UKIMWI
 
Ole wako umpe mimba mtoto wa watu na ukatae harafu ajifungue mapacha watatu[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
dada Babyfancy ukuje nikufundishe kuhesabu calendar ya Menstrual cycle uwe unafanya siku salama tuuuu.

Maana vijana wa hovyo hawachelewi kutia mimba then wakakimbia
 
Sema nini mdau, najua hiyo picha ume Google πŸ˜…πŸ€£πŸ€£ naiona leo sio mala ya kwanza
 
bila shaka umekula dona vizuri na maji ya kutosha.....hakikisha una Coke baridi mambo yakizidi unapiga kila kitu kinarudi normal...
 
dada Babyfancy ukuje nikufundishe kuhesabu calendar ya Menstrual cycle uwe unafanya siku salama tuuuu.

Maana vijana wa hovyo hawachelewi kutia mimba then wakakimbia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787],nitaikariri siku NIKIOLEWA ila sahiv nikiikariri shetani ataanza kunitumia vibaya sitaki hata kuijua mimi nilivyo pataga f ya biology O level ndio ulikua MWISHO wake
 
Weee inatokeaga bahat mbaya ujue πŸ˜…
Mala paaa anakwambia uje tu geto hamfanyi chochote, unaenda kukutana na kabali ya mbao, hutoki hadi umetoa qupi
 
Weee inatokeaga bahat mbaya ujue [emoji28]
Mala paaa anakwambia uje tu geto hamfanyi chochote, unaenda kukutana na kabali ya mbao, hutoki hadi umetoa qupi
Siendi getto KWA mtu mimi nitakua namtafuta shetani mwenyewe me mambo ya gizani sipendi kabisaaa yaani nayaepuka maybe nubakwe barabaran [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] MWANAMKE ujanja buana
 
Estrogen and progestin hormones zipo chini naona.
Haya bhana umeshinda πŸ™Œ
 
Kwahiyo mzee huwezi piga mechi mpaka unywe hiyo mikemikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…